Serikali haimuoni Chief Godlove ?

zipumbovu

Member
Joined
Nov 27, 2023
Posts
22
Reaction score
344
Wapo vijana maskini wa akili ambao wataona Mimi Nina wivu ama chuki dhidi ya huyu jamaa anae jiita Chief Godlove.

Huyu jamaa kimsingi ni tapeli ambae amekuwa akiwatapeli maskini pesa zao.

Mwanzo alikuwa anajitukuza kwa kusema yeye ni freemasoni na hiyo ndio njia iliyo wavuta watu wengi wenye kutamani mafanikio ya haraka.

Kwasasa anendelea kuunganisha watu na jicho la tatu ambapo amekuwa akiwatoza watu pesa ya kiingilio kwaajili ya huduma ya jicho la tatu, anadai ndani ya group lake amekuwa akiwapa elimu ya jinsi ya kuona mambo yasiyo weza kuonekana kwa jicho la kawaida, amekuwa akiwapa elimu ya jinsi ya kupata pesa.

Najaribubu kujiuliza maswali je? Serikali inaruhusu iyo elimu na je ? Serikali imefanya uchunguzi dhidi ya hiyo elimu.

Huyu jamaa anawafanya vijana wawe wajinga wajinga wakiamini zipo pesa zinazo weza kupatikana wa kujiunga na group tuu la watsup (jicho la tatu )

Alikuwepo tapeli mmoja aliye jiita DANIEL SHILLA baada ya kutapeli watu pesa za kutosha sasa amehamia Dubai.

Je, serikali inasubiri huyu chief ahame nchi ndio ianze kumchunguza.
 
Hiyo ni fursa pia kwako, nenda mahakamani kamshtaki upige hela.
 
Kwasasa wqnamhitaji kwa ajili ya kuwaweka busy wajinga wasahau shida zao
 
Pole sana mkuu bila shaka utakuwa ni muhanga na kama umesalimika sambaza ujumbe Kwa ndugu jamaa na marafiki, hakuna tajiri anayeweza kuweka wazi/hadharani Siri ya mafanikio
Mbona mwamposa ni tapeli na haujasema serekali imuone aacha wivu wajinga ndo chakula ya wajanja
Ila Bulldozer hajafungua group la whatsApp, maana mleta Uzi amedai Kuna group la WhatsApp
 
Tatizo ccm
 
Kutapeli mpaka Group?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…