Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh! Daniel Shila aliwatapeli watu kupitia E-FM ya majizo.Wapo vijana maskini wa akili ambao wataona Mimi Nina wivu ama chuki dhidi ya huyu jamaa anae jiita Chief Godlove.
Huyu jamaa kimsingi ni tapeli ambae amekuwa akiwatapeli maskini pesa zao.
Mwanzo alikuwa anajitukuza kwa kusema yeye ni freemasoni na hiyo ndio njia iliyo wavuta watu wengi wenye kutamani mafanikio ya haraka.
Kwasasa anendelea kuunganisha watu na jicho la tatu ambapo amekuwa akiwatoza watu pesa ya kiingilio kwaajili ya huduma ya jicho la tatu, anadai ndani ya group lake amekuwa akiwapa elimu ya jinsi ya kuona mambo yasiyo weza kuonekana kwa jicho la kawaida, amekuwa akiwapa elimu ya jinsi ya kupata pesa. Najaribubu kujiuliza maswali je? Serikali inaruhusu iyo elimu na je ? Serikali imefanya uchunguzi dhidi ya hiyo elimu.
Huyu jamaa anawafanya vijana wawe wajinga wajinga wakiamini zipo pesa zinazo weza kupatikana wa kujiunga na group tuu la watsup (jicho la tatu )
Alikuwepo tapeli mmoja aliye jiita DANIEL SHILLA baada ya kutapeli watu pesa za kutosha sasa amehamia Dubai.
Je serikali inasubili huyu chief ahame nchi ndio ianze kumchunguza.
NakaziaaaaaMinaona aendelee tu kuwanyoosha, maana hii nchi wajinga bado ni wengi sana...🤣
jamaa anazingua huyuacha wivu sio kila mtu anaweza fanya kitu jamaa anafanya ni aina yake ya utafutaji serikali ina mambo kibao ya kufuatilia sio kuziba riziki za watu...... wanaotapeliwa wana akili timamu acha waliwe vichwa
Teh!teh!teh! Yatosha January iishe Sasa.Huyo chief God love ana kibali cha utapeli sasa utamshikaje?
Pia ana kadi ya CCM na anatoa michango ya hiari huko CCM.
Ukiwa CCM uko upande wa serikali hata ufanye uovu hauonekani labda uue hadharani
Wapo vijana maskini wa akili ambao wataona Mimi Nina wivu ama chuki dhidi ya huyu jamaa anae jiita Chief Godlove.
Huyu jamaa kimsingi ni tapeli ambae amekuwa akiwatapeli maskini pesa zao.
Mwanzo alikuwa anajitukuza kwa kusema yeye ni freemasoni na hiyo ndio njia iliyo wavuta watu wengi wenye kutamani mafanikio ya haraka.
Kwasasa anendelea kuunganisha watu na jicho la tatu ambapo amekuwa akiwatoza watu pesa ya kiingilio kwaajili ya huduma ya jicho la tatu, anadai ndani ya group lake amekuwa akiwapa elimu ya jinsi ya kuona mambo yasiyo weza kuonekana kwa jicho la kawaida, amekuwa akiwapa elimu ya jinsi ya kupata pesa.
Najaribubu kujiuliza maswali je? Serikali inaruhusu iyo elimu na je ? Serikali imefanya uchunguzi dhidi ya hiyo elimu.
Huyu jamaa anawafanya vijana wawe wajinga wajinga wakiamini zipo pesa zinazo weza kupatikana wa kujiunga na group tuu la watsup (jicho la tatu )
Alikuwepo tapeli mmoja aliye jiita DANIEL SHILLA baada ya kutapeli watu pesa za kutosha sasa amehamia Dubai.
Je, serikali inasubiri huyu chief ahame nchi ndio ianze kumchunguza.
Yaani mtu awe na code ya kupata hela alafu akufundishe wewe? tena akulazimishe ujiunge?.Wapo vijana maskini wa akili ambao wataona Mimi Nina wivu ama chuki dhidi ya huyu jamaa anae jiita Chief Godlove.
Huyu jamaa kimsingi ni tapeli ambae amekuwa akiwatapeli maskini pesa zao.
Mwanzo alikuwa anajitukuza kwa kusema yeye ni freemasoni na hiyo ndio njia iliyo wavuta watu wengi wenye kutamani mafanikio ya haraka.
Kwasasa anendelea kuunganisha watu na jicho la tatu ambapo amekuwa akiwatoza watu pesa ya kiingilio kwaajili ya huduma ya jicho la tatu, anadai ndani ya group lake amekuwa akiwapa elimu ya jinsi ya kuona mambo yasiyo weza kuonekana kwa jicho la kawaida, amekuwa akiwapa elimu ya jinsi ya kupata pesa.
Najaribubu kujiuliza maswali je? Serikali inaruhusu iyo elimu na je ? Serikali imefanya uchunguzi dhidi ya hiyo elimu.
Huyu jamaa anawafanya vijana wawe wajinga wajinga wakiamini zipo pesa zinazo weza kupatikana wa kujiunga na group tuu la watsup (jicho la tatu )
Alikuwepo tapeli mmoja aliye jiita DANIEL SHILLA baada ya kutapeli watu pesa za kutosha sasa amehamia Dubai.
Je, serikali inasubiri huyu chief ahame nchi ndio ianze kumchunguza.
Wanachajiwa fedha kila stage .na watu kuaminishwa watakuwa matajiri .Kama nitapeli weka hapa ushahidi kama amewahi kukutapeli au kama upo kwenye hilo group lake.
Pengine ni wivu tu unakusumbua hujawahi kujiunga hata kwenye hilo group kama kuna watu wanatapeliwa kwanini wasiende kushitaki
Tatizo ni grp la WhatsApp au tatizo ni utapeli? Kama tatizo ni utapeli hata mwamposa ni tapeliPole sana mkuu bila shaka utakuwa ni muhanga na kama umesalimika sambaza ujumbe Kwa ndugu jamaa na marafiki, hakuna tajiri anayeweza kuweka wazi/hadharani Siri ya mafanikio
Ila Bulldozer hajafungua group la whatsApp, maana mleta Uzi amedai Kuna group la WhatsApp
Bulldozer kakufanyizia Nini? Maana Ili uitwe madhabahuni kutoa shuhuda ujue umechangia vya kutosha, Ila Mzee wa rise and shine huwezi kumlinganisha na mtu aliyefungua group whatsappTatizo ni grp la WhatsApp au tatizo ni utapeli? Kama tatizo ni utapeli hata mwamposa ni tapeli