Serikali haimuoni Chief Godlove ?

Serikali haimuoni Chief Godlove ?

📌UKITAKA UTAJIRI TAFUTA JAMBO LAKO AMBALO UTAKUSANYA MASKINI WENGI UWAKAMU🤝

ACHA UJINGA UTAJIRI UPO KWA MASKINI.WEWE ENDELEA KULIALIA KILA KITU MNATAKA MFANYIWE.HIZO SHINGO ZENU ZIMEBEBA MAKOPO??!!
 
Kama nitapeli weka hapa ushahidi kama amewahi kukutapeli au kama upo kwenye hilo group lake.
Pengine ni wivu tu unakusumbua hujawahi kujiunga hata kwenye hilo group kama kuna watu wanatapeliwa kwanini wasiende kushitaki
 
Wapo vijana maskini wa akili ambao wataona Mimi Nina wivu ama chuki dhidi ya huyu jamaa anae jiita Chief Godlove.

Huyu jamaa kimsingi ni tapeli ambae amekuwa akiwatapeli maskini pesa zao.
Mwanzo alikuwa anajitukuza kwa kusema yeye ni freemasoni na hiyo ndio njia iliyo wavuta watu wengi wenye kutamani mafanikio ya haraka.

Kwasasa anendelea kuunganisha watu na jicho la tatu ambapo amekuwa akiwatoza watu pesa ya kiingilio kwaajili ya huduma ya jicho la tatu, anadai ndani ya group lake amekuwa akiwapa elimu ya jinsi ya kuona mambo yasiyo weza kuonekana kwa jicho la kawaida, amekuwa akiwapa elimu ya jinsi ya kupata pesa. Najaribubu kujiuliza maswali je? Serikali inaruhusu iyo elimu na je ? Serikali imefanya uchunguzi dhidi ya hiyo elimu.
Huyu jamaa anawafanya vijana wawe wajinga wajinga wakiamini zipo pesa zinazo weza kupatikana wa kujiunga na group tuu la watsup (jicho la tatu )

Alikuwepo tapeli mmoja aliye jiita DANIEL SHILLA baada ya kutapeli watu pesa za kutosha sasa amehamia Dubai.

Je serikali inasubili huyu chief ahame nchi ndio ianze kumchunguza.
Duh! Daniel Shila aliwatapeli watu kupitia E-FM ya majizo.

Noma sana.
 
acha wivu sio kila mtu anaweza fanya kitu jamaa anafanya ni aina yake ya utafutaji serikali ina mambo kibao ya kufuatilia sio kuziba riziki za watu...... wanaotapeliwa wana akili timamu acha waliwe vichwa
jamaa anazingua huyu
Screenshot_20250119-093315.jpg
 
Mkuu kwani hujui tu chanzo cha utajiri ni wajinga, wajinga ndio daraja la wachache kuwa matajiri.
 
Hao wanaotapeliwa acha waliwe tu si wana hela za kuchezea acha kijana apige hela
 
Wapo vijana maskini wa akili ambao wataona Mimi Nina wivu ama chuki dhidi ya huyu jamaa anae jiita Chief Godlove.

Huyu jamaa kimsingi ni tapeli ambae amekuwa akiwatapeli maskini pesa zao.

Mwanzo alikuwa anajitukuza kwa kusema yeye ni freemasoni na hiyo ndio njia iliyo wavuta watu wengi wenye kutamani mafanikio ya haraka.

Kwasasa anendelea kuunganisha watu na jicho la tatu ambapo amekuwa akiwatoza watu pesa ya kiingilio kwaajili ya huduma ya jicho la tatu, anadai ndani ya group lake amekuwa akiwapa elimu ya jinsi ya kuona mambo yasiyo weza kuonekana kwa jicho la kawaida, amekuwa akiwapa elimu ya jinsi ya kupata pesa.

Najaribubu kujiuliza maswali je? Serikali inaruhusu iyo elimu na je ? Serikali imefanya uchunguzi dhidi ya hiyo elimu.

Huyu jamaa anawafanya vijana wawe wajinga wajinga wakiamini zipo pesa zinazo weza kupatikana wa kujiunga na group tuu la watsup (jicho la tatu )

Alikuwepo tapeli mmoja aliye jiita DANIEL SHILLA baada ya kutapeli watu pesa za kutosha sasa amehamia Dubai.

Je, serikali inasubiri huyu chief ahame nchi ndio ianze kumchunguza.

😃😃😃

Serikali haiwezi kufuatilia mambo kama hayo ambayo ni hiyari ya watu wenyewe.

Serikali haiwezi kuingilia mitazamo, hisia, mapenzi, ya watu kuhusu Jambo Fulani ikiwa inaona halileta madhara makubwa kwenye jamii.

Mfano, kuanzisha Kanisa au huduma za kinabii ni Moja ya utapeli lakini serikali haiwezi ingilia mambo hayo ambayo watu huona kama ni sehemu ya msaada kwao na huyapenda.
 
Wapo vijana maskini wa akili ambao wataona Mimi Nina wivu ama chuki dhidi ya huyu jamaa anae jiita Chief Godlove.

Huyu jamaa kimsingi ni tapeli ambae amekuwa akiwatapeli maskini pesa zao.

Mwanzo alikuwa anajitukuza kwa kusema yeye ni freemasoni na hiyo ndio njia iliyo wavuta watu wengi wenye kutamani mafanikio ya haraka.

Kwasasa anendelea kuunganisha watu na jicho la tatu ambapo amekuwa akiwatoza watu pesa ya kiingilio kwaajili ya huduma ya jicho la tatu, anadai ndani ya group lake amekuwa akiwapa elimu ya jinsi ya kuona mambo yasiyo weza kuonekana kwa jicho la kawaida, amekuwa akiwapa elimu ya jinsi ya kupata pesa.

Najaribubu kujiuliza maswali je? Serikali inaruhusu iyo elimu na je ? Serikali imefanya uchunguzi dhidi ya hiyo elimu.

Huyu jamaa anawafanya vijana wawe wajinga wajinga wakiamini zipo pesa zinazo weza kupatikana wa kujiunga na group tuu la watsup (jicho la tatu )

Alikuwepo tapeli mmoja aliye jiita DANIEL SHILLA baada ya kutapeli watu pesa za kutosha sasa amehamia Dubai.

Je, serikali inasubiri huyu chief ahame nchi ndio ianze kumchunguza.
Yaani mtu awe na code ya kupata hela alafu akufundishe wewe? tena akulazimishe ujiunge?.

Vitu vingekuwa vya kweli asigeweza waambia watu.

hata hao freemason wapo kimya sio rahisi kuingia huko au kupata hela ya hivyo.

Huyo jamaa ni tapeli tu kama yule Nabii shilla .sahizi kaishiwa anapost picha za hela bandia au kama za kweli ni zakukodi kuvutia wajinga.
 
Kama nitapeli weka hapa ushahidi kama amewahi kukutapeli au kama upo kwenye hilo group lake.
Pengine ni wivu tu unakusumbua hujawahi kujiunga hata kwenye hilo group kama kuna watu wanatapeliwa kwanini wasiende kushitaki
Wanachajiwa fedha kila stage .na watu kuaminishwa watakuwa matajiri .

Ni njia ya kuwahadaa watu .
 
Pole sana mkuu bila shaka utakuwa ni muhanga na kama umesalimika sambaza ujumbe Kwa ndugu jamaa na marafiki, hakuna tajiri anayeweza kuweka wazi/hadharani Siri ya mafanikio

Ila Bulldozer hajafungua group la whatsApp, maana mleta Uzi amedai Kuna group la WhatsApp
Tatizo ni grp la WhatsApp au tatizo ni utapeli? Kama tatizo ni utapeli hata mwamposa ni tapeli
 
Bulldozer kakufanyizia Nini? Maana Ili uitwe madhabahuni kutoa shuhuda ujue umechangia vya kutosha, Ila Mzee wa rise and shine huwezi kumlinganisha na mtu aliyefungua group whatsapp
 
Nonsense,
iyo serikali iliyojaa uozo ndio ikamfuatilie Kijana wa Mwakibete? Kwa legalities zipi?
 
Back
Top Bottom