Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Lile tatizo la miaka 5-10 iliyopita limrudi tena.
Serikali inadaiwa imeanza tena kutoa Tender za ujenzi bila kuwepo fedha za kuwalipa Makandarasi.
TANROADS kama idara ya serikali, pamoja na TARURA ndio watekelezaji wakuu wa miradi ya ujenzi, hasa ya barabara.
Lakini invyoelekea Taasisi hizi hazina fedha.
Mlalamiko yaliyokuwepo miaka ya nyuma juu ya urasimu katika ulipaji, yameanza kurudi kwa kai.
Nusa nusa yangu ni kwamba Wizara ya Ujenzi, haina fedha za kupeleka TANROADS ilikuwalipa Makandarasi kwa kazi zilizotekelezwa kwa wakati.