aminiusiamini
JF-Expert Member
- Aug 25, 2011
- 3,577
- 2,224
na bado huo ni moshi bado moto tu hehee mwaka huu mpaka magu aombe poo maana mpaka na meli zitaanza kukamatwaKugoma eeeeh.. kisa watu wanaisoma namba na kusaga meno au!?
kitu kama hauna dhamira nacho lazma ushindwe, hakuwa na dhamira ya kiongozi ndiyo maana anashindwa.
Hivi jamani, hivi huyu Mungu mbona kama tunamuonea sana. Mporomoshaji wa uchumi tulimuweka wenyewe, tena kwa mbwembwe na vifijo vya push up na wizi wa kura.
Alichofanya Mungu ni kutuonyesha kwamba hakuwa yeye, kwa kupitia kinywa cha Mporomoshaji uchumi (nilisukumiziwa, sikujua kazi ya urais ni ngumu kiasi hiki n.k)
Leo tena bado mnataka Mungu katika wokozi wa uchumi?
Kupanga ni kuchagua.
Wapo wanaosema ni chaguo la Mungu, (hapa siweki neno)