aminiusiamini
JF-Expert Member
- Aug 25, 2011
- 3,577
- 2,224
Jamani hali ya uchumi ni tete sana.
Naona serikali inakopa kila kukicha kulipa mishahara. Deni la taifa linazidi kupanda kila kukicha.
Wastaafu na viongozi wa serikali wengine hawajapata haki zao kwa muda mrefu. Tanzania tunaenda wapi?
Naanza kuamini kuwa zengwe la kuwahujumu wapinzani (chadema) ni mipango ambayo imelengwa kudiverge issue ya uchumi ambao inaporomoka. Serikali ya magu ina-instill fear maana watu watanyanyuka na kugoma maana hali ya uchumi ni mbaya.
Tumwombe Mungu atuepushe na hili janga la uchumi kuporomoka maana matokeo hasi ya kwanza na awali,ni kuvunjika kwa amani.
Mwenyezi Mungu naomba uiliende Tanzania yetu.