Serikali haina pesa elimu ya Juu; Wazazi watakiwa kutafuta jinsi

Serikali haina pesa elimu ya Juu; Wazazi watakiwa kutafuta jinsi

Ngoja hela ya uchaguzi Igunga irudi kwanza, na ya sherehe ya miaka hamsini.
 
Yes amesema kweli maana iliyopo sasa ni ya sherehe zao hizo na bado wanataka zaidi ili wajurushe ila ya kusomesha watanzania hawana .
Na zingine wanatuma ulaya kuimarisha matawi ya chama chao ili watoto wao wanaosoma huko waje kutawala watanzania mbumbu kiulainiiiiii!
 
Mbona za kuilipa DOWANS hatujamsikia Ngeleja akisema serikali haina hela?
 
Back
Top Bottom