Puppy JF-Expert Member Joined Oct 6, 2011 Posts 2,995 Reaction score 2,513 Nov 1, 2011 #21 Ngoja hela ya uchaguzi Igunga irudi kwanza, na ya sherehe ya miaka hamsini.
ngorope JF-Expert Member Joined Jul 15, 2011 Posts 1,112 Reaction score 243 Nov 1, 2011 #22 Lunyungu said: Yes amesema kweli maana iliyopo sasa ni ya sherehe zao hizo na bado wanataka zaidi ili wajurushe ila ya kusomesha watanzania hawana . Click to expand... Na zingine wanatuma ulaya kuimarisha matawi ya chama chao ili watoto wao wanaosoma huko waje kutawala watanzania mbumbu kiulainiiiiii!
Lunyungu said: Yes amesema kweli maana iliyopo sasa ni ya sherehe zao hizo na bado wanataka zaidi ili wajurushe ila ya kusomesha watanzania hawana . Click to expand... Na zingine wanatuma ulaya kuimarisha matawi ya chama chao ili watoto wao wanaosoma huko waje kutawala watanzania mbumbu kiulainiiiiii!
nyambari JF-Expert Member Joined Nov 3, 2010 Posts 355 Reaction score 171 Nov 2, 2011 #23 Mbona za kuilipa DOWANS hatujamsikia Ngeleja akisema serikali haina hela?