- Thread starter
- #21
Halafu kuna wakomaza Shingo utawasikia Magufuli alikuwa Dikteta!
Sasa wacha akili zitukae sawa,ili wenye kujitambua wasiurudie ujinga ifikapo 2025
#Kataawaguni
Tulipo kazi inaendelea. Fyongo elimu ya juu, afya na mengi chimbuko ni serikali ya CCM. Labda kama unataka kusema mwendazake hakuwa CCM.