B brazaj JF-Expert Member Joined Jul 26, 2016 Posts 31,698 Reaction score 41,733 Dec 7, 2022 Thread starter #21 voicer said: Halafu kuna wakomaza Shingo utawasikia Magufuli alikuwa Dikteta! Sasa wacha akili zitukae sawa,ili wenye kujitambua wasiurudie ujinga ifikapo 2025 #Kataawaguni Click to expand... Tulipo kazi inaendelea. Fyongo elimu ya juu, afya na mengi chimbuko ni serikali ya CCM. Labda kama unataka kusema mwendazake hakuwa CCM.
voicer said: Halafu kuna wakomaza Shingo utawasikia Magufuli alikuwa Dikteta! Sasa wacha akili zitukae sawa,ili wenye kujitambua wasiurudie ujinga ifikapo 2025 #Kataawaguni Click to expand... Tulipo kazi inaendelea. Fyongo elimu ya juu, afya na mengi chimbuko ni serikali ya CCM. Labda kama unataka kusema mwendazake hakuwa CCM.
B brazaj JF-Expert Member Joined Jul 26, 2016 Posts 31,698 Reaction score 41,733 Dec 8, 2022 Thread starter #22 Pac the Don said: Ngoja watetezi akina baptist na wenzake waje!! Click to expand... johnthebaptist waonekana wito wenu hapa
Pac the Don said: Ngoja watetezi akina baptist na wenzake waje!! Click to expand... johnthebaptist waonekana wito wenu hapa
B brazaj JF-Expert Member Joined Jul 26, 2016 Posts 31,698 Reaction score 41,733 Dec 15, 2022 Thread starter #23 NInakazia: "Dawa hospitali tunakolipia kila kitu hadi mortuary zenye thamani ya 1bn/- kila siku za nini?" MSD yasambaza dawa za Sh1 bilioni kwa siku
NInakazia: "Dawa hospitali tunakolipia kila kitu hadi mortuary zenye thamani ya 1bn/- kila siku za nini?" MSD yasambaza dawa za Sh1 bilioni kwa siku