Serikali haipo "serious" na elimu ya nchi hii

MZAWATA

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2011
Posts
556
Reaction score
95
Hivi nchi hii ya Tanzania ni madudu gani tunayafanya katika elimu. Kwanin serikali inacheza na elimu kwa watoto wetu kiasi hiki? Kidato cha pili kwenda kidato cha tatu eti ni wastani wa 20, kwanini serikali inacheza na eliimu kiasi hiki? Yan siasa tu jaman ndo iharibu elimu kias hiki? Wewe kama mdau wa elimu tanzania unasemaje?
 

Wanaotunga sera na kuzisimamia hawasomeshi watoto wao hapa nchini, na kama wanasomesha watoto wao hapa nchini, basi wanawasomesha kwenye shule zisizo wahanga wa hayo uliyolalamikia.

Lakini pia si watendaji wote wanaopewa nafasi za utendaji wanazo sifa za kazi walizopewa, na hata kama watakuwa nazo, wanaingiliwa na wanasiasa ambao miongoni mwao wana personal interests ambazo si rahisi kuzibaini kabla ya madhara kuonekana bayana kama hivi
 
Kwani serikali yak iko serious na kitu gani hasa. Ebu anfalia vizuri kila sekta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…