Hivi nchi hii ya Tanzania ni madudu gani tunayafanya katika elimu. Kwanin serikali inacheza na elimu kwa watoto wetu kiasi hiki? Kidato cha pili kwenda kidato cha tatu eti ni wastani wa 20, kwanini serikali inacheza na eliimu kiasi hiki? Yan siasa tu jaman ndo iharibu elimu kias hiki? Wewe kama mdau wa elimu tanzania unasemaje?