Serikali haitaki kutoa vibali vya kusafirisha mazao Mpaka wa Sirari

Serikali haitaki kutoa vibali vya kusafirisha mazao Mpaka wa Sirari

BigTall

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2022
Posts
525
Reaction score
1,257
Nipo Border ya Sirari na Kenya, kuna changamoto moja hapa Serikali haitaki kutoa vibali vya kusafirisha mazao kwenda nje ya Nchi ila sasa madali wanapitisha Mahindi njia za panya kupeleka Mahindi Kenya.

Je, kwanini Serikali isitoe Vibali ili ipate mapato?
 
Mbona waliruhusu tayari au wanezuia tena?
Maana Mtukula na Rusumo watu wanapita vizuri tu
 
Back
Top Bottom