Well said.Sio lugha ya kingereza uliza kwanini serikali haitaki watoto wapate elimu yenye tija.
Utakuja gundua serikali inapenda kundi kubwa la wajinga ili waendelee kuwatawala.
Elimu ya kuhamisha vitu kwenye kitabu kwenda kwenye karatasi ya mtihani imefanya tumekuwa na PhD wapumbavu Masters wapumbavu. Angalia tunaowaita wasomi mahali walipo tufikisha leo