Serikali haitaki watoto wa Masikini wajue lugha ya Kiingereza?

Well said.
 
Kwangu mimi hii ni moja ya comment bora ya mwaka
 
Na mazingira ya sasa yanahitaji ufahamu lugha ya Kiingereza. Ndiyo lugha ya dunia. Kutokulijua ni kujitenga na ulimwengu.

Au unafikiri kwa nini karibia watu wote wenye "akili" wanajitahidi kuwapeleka watoto wao English medium? Hawataki watoto wao waje kukosa fursa kwa sababu ya lugha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…