Serikali haiwezi kumsaidia mfanyabiashara asiye na leseni bali kumfungia biashara?

Serikali haiwezi kumsaidia mfanyabiashara asiye na leseni bali kumfungia biashara?

Mwaka 2017 walinifungia biashara nilikuwa ndio kwanza naianza na miaka ile sikuwa na elimu ya ulipaji wa kodi.....
Kesho yake nilienda nikakata kufuli lao, nikasomba vitu vyangu home nikafunga na biashara mbwa wale...🤨
 
Mwaka 2017 walinifungia biashara nilikua ndio kwanza naianza na miaka ile sikuwa na elimu ya ulipaji wa kodi.....
Kesho yake nilienda nika kata kufuli lao, nikasomba vitu vyangu home nikafunga na biashara mbwa wale...🤨
Changamoto sana Kuna kijana ana mwezi mmoja tangu afungue duka lake dogo, Pia ni mgeni hivyo analala humo humo kwenye flemu lakini Leo wamemfungia hawataki kusikiliza chochote
 
Yaani mfanyaboashara anajua Biashara inahitaji leseni afu anafungua bila leseni then TRA imwonee huruma?

Afu tukutane humu tuilaumu serikali isipofanya maenendeleo?

Yaani ilitakiw aidai kodi kama wale wafanyakazi wa OYA
 
Sio Kila anaefanya biashara ana uelewa kuhusu ulipaji Kodi, mfn. Kijana kafungua saloon kwa mtazamo wake anaweza kufikiri yeye hatakiwi Kodi siku wakija kumfungia anabaki na maswali, elimu ni muhimu kabla ya kuchukua hatua
 
Huna moja huna mbili mnategemea tuvuje jasho alafu mule mishahara kupitia sisi wauza genge ,,kama ni rahisi kila mtu ale kwa jasho
 
Habari wakubwa,

Hivi hakuna namna serikali inaweza kumjali/kumsaidia mfanya biashara asiye na leseni mpaka kufunga biashara za watu
Una akili nyingi sana. Tatizo watumishi wengi huko Serikali akili zao wanazijua wenyewe. Ni kama fupi flani hivi
 
inawezekana ulijibu kejeli ndio maana wakakufungia.
Next jieleze andika commitmment letter mbona wanaelewa sana tu.
 
inawezekana ulijibu kejeli ndio maana wakakufungia.
Next jieleze andika commitmment letter mbona wanaelewa sana tu.
Hawataki kusikiliza chochote Kama huna leseni toka tufunge ofisi, Sasa mpaka kijana was kiume anatoa machozi wampe muda maana humo kwenye flemu ndio analala ni mgeni lakini wamekataa
 
Una akili nyingi sana. Tatizo watumishi wengi huko Serikali akili zao wanazijua wenyewe. Ni kama fupi flani hivi
Shida Kaka mkubwa unakuta fundi kushona ana cherehani na nguo kadhaa za wateja, hana elimu Kama na yeye anahitajika kulipa Kodi ukifunga anaona Kama mateso
 
Back
Top Bottom