Serikali haiwezi kumsaidia mfanyabiashara asiye na leseni bali kumfungia biashara?

Serikali haiwezi kumsaidia mfanyabiashara asiye na leseni bali kumfungia biashara?

Naelewa unacho ongea. Hz kodi zetu ni za kula maisha chura kwenye msafala wake si uliona gari zaidi ya 140+
All the best
 
Shida Kaka mkubwa unakuta fundi kushona ana cherehani na nguo kadhaa za wateja, hana elimu Kama na yeye anahitajika kulipa Kodi ukifunga anaona Kama mateso
Ilipaswa taasisi zenye jukumu la uanzishwaji wa biashara kupita mitaani kama wanavyopita wauza kadi za simu ili kuwawezesha watu wafungue biashara. Nchi ina wajinga wengi sana. Imagine wewe shirika lako linaendeshwa kwa Kodi halafu unakuwa mstari wa mbele kufifisha biashara inayotarajiwa kulipa Kodi.

Jambo la ajabu kabisa taasisi hizi kutoza watu kufungia wanaotaka kuanzisha shughuli rasmi za kiuchumi. Eti ada ya ukaguzi?? Halafu kukagua wanakuja na V8, na posho wanalipwa na ofisi. Damn
 
huku kwetu wamekuja wa zima moto,..nao naona wanalazimisha kila mtu awe nayo na unalipia kila mwaka,..
 
Back
Top Bottom