Eagle girl
JF-Expert Member
- May 1, 2024
- 299
- 462
So Kila anaye anzisha biashara ana uelewa kuhusu leseni tra nk.Kama umeweza kuanza biashara kwanini leseni ikushinde?
Leo wamekuja Kama wateja Sasa,ni ghafla sana mpaka saloon wamepiga kufuli zao. Naam nipo nje ya darnaonaga Dar TRA wakija watu wanafunga maduka wanatoka nduki au uko mkoani?
Changamoto sana Kuna kijana ana mwezi mmoja tangu afungue duka lake dogo, Pia ni mgeni hivyo analala humo humo kwenye flemu lakini Leo wamemfungia hawataki kusikiliza chochoteMwaka 2017 walinifungia biashara nilikua ndio kwanza naianza na miaka ile sikuwa na elimu ya ulipaji wa kodi.....
Kesho yake nilienda nika kata kufuli lao, nikasomba vitu vyangu home nikafunga na biashara mbwa wale...🤨
Ni changamoto sana, unakuta wengine hawana elimu namna ya ulipaji Kodi nk.Dah hatari sana Tanzania yangu
Sio Kila anaefanya biashara ana uelewa kuhusu ulipaji Kodi, mfn. Kijana kafungua saloon kwa mtazamo wake anaweza kufikiri yeye hatakiwi Kodi siku wakija kumfungia anabaki na maswali, elimu ni muhimu kabla ya kuchukua hatuaYaani mfanyaboashara anajua Biashara inahitaji leseni afu anafungua bila leseni then TRA imwonee huruma?
Afu tukutane humu tuilaumu serikali isipofanya maenendeleo?
Yaani ilitakiw aidai kodi kama wale wafanyakazi wa OYA
Hata kumpa tu control number ili alipe ndani ya siku 7 wameshindwa! Poor Tanzania!Habari wakubwa,
Hivi hakuna namna serikali inaweza kumjali/kumsaidia mfanya biashara asiye na leseni mpaka kufunga biashara za watu
Inafikirisha sana kijana analalamika wampe muda, maana analala humo lakini wamefunga na maneno ya kejeri juuHata kumpa tu control number ili alipe ndani ya siku 7 wameshindwa! Poor Tanzania!
Una akili nyingi sana. Tatizo watumishi wengi huko Serikali akili zao wanazijua wenyewe. Ni kama fupi flani hiviHabari wakubwa,
Hivi hakuna namna serikali inaweza kumjali/kumsaidia mfanya biashara asiye na leseni mpaka kufunga biashara za watu
Hawataki kusikiliza chochote Kama huna leseni toka tufunge ofisi, Sasa mpaka kijana was kiume anatoa machozi wampe muda maana humo kwenye flemu ndio analala ni mgeni lakini wamekataainawezekana ulijibu kejeli ndio maana wakakufungia.
Next jieleze andika commitmment letter mbona wanaelewa sana tu.
Shida Kaka mkubwa unakuta fundi kushona ana cherehani na nguo kadhaa za wateja, hana elimu Kama na yeye anahitajika kulipa Kodi ukifunga anaona Kama matesoUna akili nyingi sana. Tatizo watumishi wengi huko Serikali akili zao wanazijua wenyewe. Ni kama fupi flani hivi