Serikali: Hakuna Fidia kwa Waliobomolewa Nyumba kupisha utanuzi wa Barabara ya Kimara-Kibamba, ilitumika Sheria ya 1932!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Serikali imewataka wananchi kuelewa kwamba hakuna Malipo ya Fidia kwa walioathiriwa na bomoabomoa ya kupisha utanuzi wa barabara ya Kimara-Kibamba

Serikali imesema bomoabomoa hiyo ilitumia Sheria ya Mwaka 1932

Source: Mwanahalisi Digital

Mlale Unono 🐼

Pia soma:
 
Nchi inatumia sheria za 1932, hakunayeyote aliye madarakani leo aliyezaliwa mwaka huo
Kuna sheria za misitu za nyuma ya hapo,1920s,Kuna miti haikuruhusiwa kukatwa magogo kwa kuwa Ina matunda yanayotumika kipindi Cha njaa,niliiona hii sheria 2004,lakini mwaka huo tukaruhusiwa kidharura,tukakata magogo mwezi hivi Kisha wakazuwia,magogo yalikua makubwa Sana,piga hela kwa mchina, serikali hii huru ni mrithi wa mkoloni
 
Serikali imewataka wananchi kuelewa kwamba hakuna Malipo ya Fidia kwa walioathiriwa na bomoabomoa ya kupisha utanuzi wa barabara ya Kimara-Kibamba

Serikali imesema bomoabomoa hiyo ilitumia Sheria ya Mwaka 1932

Source: Mwanahalisi Digital

Mlale Unono 🐼
Bomoeni kituo cha mafuta hapo Stop Over
 
Huko si wanaishi wachaga, Shauri yao, hawatuhusu
Mimi Ni muadhirika ya hii kitu. Walinibomolea nyumba nne ndani ya nusu saa. Halafu kirahisi tu unasema hawatuhusu sababuni wachaga, mbona wanyakyusa walikuwepo wengi tu.

Sababu ya kubomolewa Ni kwamba mwendazake alihisi sote Ni wachagga kwa hivyo Ni chadema.
Kwa alivyokua anaiogopa chadema akaona atuadhibu. Kiko wapi, Yuko wapi na hata huyo anayekazia kwamba walitumia Sheria ya mkoloni tunamsubiri akistaafu.

Cha ajabu wale wale waliotuvunjia kwakutumia mabavu ndio wanajenga vituo vya petrol pale pale walipotuondoa. Mfano

Stop over, Kiluvya Madukani na Gogoni.
 
Walitaka mpishe maeneo yenu Wajenge Petrol stations
 
Yesu alisema Duniani mnayo dhiki
 
Back
Top Bottom