johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Tanganyika hiyo Bwashee 😄😄Eh 1932 c hata Tanzania haijazaliwa dah 😂
Ah hata kama bhana kwanza huo mwaka bado tulikuwa tunatawaliwa, hapo serikali wametutapeliTanganyika hiyo Bwashee 😄😄
Nchi inatumia sheria za 1932, hakunayeyote aliye madarakani leo aliyezaliwa mwaka huoSheria hizi
Kuna sheria za misitu za nyuma ya hapo,1920s,Kuna miti haikuruhusiwa kukatwa magogo kwa kuwa Ina matunda yanayotumika kipindi Cha njaa,niliiona hii sheria 2004,lakini mwaka huo tukaruhusiwa kidharura,tukakata magogo mwezi hivi Kisha wakazuwia,magogo yalikua makubwa Sana,piga hela kwa mchina, serikali hii huru ni mrithi wa mkoloniNchi inatumia sheria za 1932, hakunayeyote aliye madarakani leo aliyezaliwa mwaka huo
AjabuEh 1932 c hata Tanzania haijazaliwa dah 😂
Wachaga akina Shekhe MboweHuko si wanaishi wachaga, Shauri yao, hawatuhusu
Bomoeni kituo cha mafuta hapo Stop OverSerikali imewataka wananchi kuelewa kwamba hakuna Malipo ya Fidia kwa walioathiriwa na bomoabomoa ya kupisha utanuzi wa barabara ya Kimara-Kibamba
Serikali imesema bomoabomoa hiyo ilitumia Sheria ya Mwaka 1932
Source: Mwanahalisi Digital
Mlale Unono 🐼
Mimi Ni muadhirika ya hii kitu. Walinibomolea nyumba nne ndani ya nusu saa. Halafu kirahisi tu unasema hawatuhusu sababuni wachaga, mbona wanyakyusa walikuwepo wengi tu.Huko si wanaishi wachaga, Shauri yao, hawatuhusu
Walitaka mpishe maeneo yenu Wajenge Petrol stationsMimi Ni muadhirika ya hii kitu. Walinibomolea nyumba nne ndani ya nusu saa. Halafu kirahisi tu unasema hawatuhusu sababuni wachaga, mbona wanyakyusa walikuwepo wengi tu.
Sababu ya kubomolewa Ni kwamba mwendazake alihisi sote Ni wachagga kwa hivyo Ni chadema.
Kwa alivyokua anaiogopa chadema akaona atuadhibu. Kiko wapi, Yuko wapi na hata huyo anayekazia kwamba walitumia Sheria ya mkoloni tunamsubiri akistaafu.
Cha ajabu wale wale waliotuvunjia kwakutumia mabavu ndio wanajenga vituo vya petrol pale pale walipotuondoa. Mfano
Stop over, Kiluvya Madukani na Gogoni.
Yuko jamaa alikua katibu mkuu ofisi ya rais enzi za Nyerere, aliumiza watu Sana akiwa madarakani. Yule mbwa alikuja kutaabika Sana baada ya kuachia madaraka.Walitaka mpishe maeneo yenu Wajenge Petrol stations
Mimi niliwafariji tuu na naendelea kuwafariji kwa kusisitiza, watalipwa tuu!Kama Hii Ndio Situation ya Bomoa Bomoa ya Ubungo na Kimara Bila Fidia, Then Faraja Pekee ni Kuwa, Watafidiwa Tuu!.Serikali imewataka wananchi kuelewa kwamba hakuna Malipo ya Fidia kwa walioathiriwa na bomoabomoa ya kupisha utanuzi wa barabara ya Kimara-Kibamba
Serikali imesema bomoabomoa hiyo ilitumia Sheria ya Mwaka 1932
Source: Mwanahalisi Digital
Mlale Unono 🐼
Ustaadh Abubakar 😂Wachaga akina Shekhe Mbowe
Yesu alisema Duniani mnayo dhikiMimi Ni muadhirika ya hii kitu. Walinibomolea nyumba nne ndani ya nusu saa. Halafu kirahisi tu unasema hawatuhusu sababuni wachaga, mbona wanyakyusa walikuwepo wengi tu.
Sababu ya kubomolewa Ni kwamba mwendazake alihisi sote Ni wachagga kwa hivyo Ni chadema.
Kwa alivyokua anaiogopa chadema akaona atuadhibu. Kiko wapi, Yuko wapi na hata huyo anayekazia kwamba walitumia Sheria ya mkoloni tunamsubiri akistaafu.
Cha ajabu wale wale waliotuvunjia kwakutumia mabavu ndio wanajenga vituo vya petrol pale pale walipotuondoa. Mfano
Stop over, Kiluvya Madukani na Gogoni.
Kweli kabisaBomoeni kituo cha mafuta hapo Stop Over