Serikali hapa mmeniibia na pengine mmewaibia na walimu wengine

Hivi wale waliokuwa wameajiriwa halafu wakapewa mkopo na HESLB mf:Mfano mtu alikuwa mwalimu lakini degree akaenda kusomea uhasibu na halmashauri wakafanya recategorization hawa HESLB wanapataje? chao ili wadogo zetu nao wakatumie kusomeshea wadogo zetu wengine shuleni kwetu kata
 
Punguza mihemko pimbi we!!
Hapa hoja ni kuangalia salary slip, sasa hayo ya kukurupuka yanakujaje?? Na kama nitakuta pesa walizonikata si za HESLB??? Au unajiona unahati miliki na JF? n.y.a.m.b.a.f!!!
punguza jazba mwalimu gani wewe usokuwa na staha???
 
punguza jazba mwalimu gani wewe usokuwa na staha???

Muungwana tatizo humu jukwaani kunawatu wanajifanya wamedominate mawazo ya watu wengine. Wao wanapenda uandike yale wanayotaka wao tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…