ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
Nimeanza kuafiki wazi la waziri mwana FA kuhusu kuwapa elimu ya uchambuzi wachambuzi mazwazwa wa Tanzania
Inashangaza wachambuzi kuongelea na kulamika kuhusu upangaji wa kikosi wa coach na kulazimisha kipangwe kikosi wanachotaka wao
1. coach ndo anaishi na wachezaji
Coach ndo anajua mchezaji amefanya nini kwenye uwanja wa mazoezi
Anaye perform Kwenye mazoezi ndo anapewa mechi acheze
Hawezi pesa mechi mchezaji aliyeonyesha kiwango kibovu mazoezi ili wachambuzi wafurahi
2. Kila mchezaji aliyesajiliwa kwenye timu husika ana haki ya kucheza kwenye mechi
Kwani wale wachezaji walitoka under 17 ya SBS?
3 Tuhuma za upangaji matokeo zinataka uthibitisho sio hisia.
Hawa ukiwapeleka mahakamani wanafungwa asubuhi
4 Wachambuzi wajikite kuchambua tactics za michezo
5 Vipindi vya michezo ni virefu mno
Watu wanakaa redioni masaa 4, mnaongelea Nini kwenye michezo.
Sijawahi ona sky sport na media kubwa wachambuzi wanakaa wanaongelea upumbavu,
Yaani wanachambua michezo story inaisha wanaanza kuchafua watu
6. Wachambuzi hawajui biashara ya wachezaji
Yaani mchambuzi hajui kocha na wachezaji Huwa wanauzwa na kuhama.
Utasikia timu hizi zinapeana wachezaji
Wachezaji wengi wametoka Arsenal na kuhamia Man City
Kwaiyo Arsenal na Man City Huwa zinapanga matokeo
Wachambuzi wajiendeleze na TCRA ingilia kati upotoshaji wa maksudi