Serikali harakisheni elimu Kwa wachambuzi wa media za Tanzania

Sasa wale wazee wameita waandishi wamseme Jemedari? Wametia aibu tuu aiseee..
Hivi kuna mchambuzi ambae ameongea positive kuhusu mechi ya Uto na SBS?? Sasa why Jemedari...
Hapo inaonyesha wana vitu personal na huyo Jemedari...
Huyo jemedari anachuki binafsi na yanga kama yeye ni mtu wa maana kwa nn hamtetei Aishi Manula yupo simba na mpaka leo hachezi na ni golikipa wa timu ya taifa
 
Huyo jemedari anachuki binafsi na yanga kama yeye ni mtu wa maana kwa nn hamtetei Aishi Manula yupo simba na mpaka leo hachezi na ni golikipa wa timu ya taifa
Ukisema huyu ana chuki yule hana kwenye timu fulani tutakesha kaka..
 
Sio swala la michezo mpaka mambo mengine .Yani baba levo unampa kuichambua uchumi wa tanzania.Kuna yule mpuuzi dudu baya ye kila kitu anajua kuchambua.
Kuna siku walicheza yanga kimataifa basi baada ya mpira kuisha,mic na camera zilimjalia Ndaro zikimtaka achambue kidogo kuhusu mchezo huo.
 
JKT Tanzania 0 - Yanga 0

JKT Tanzania walimuhonga nani kupata matokeo?

Yanga 1 - Tabora Utd 3
Tabora Utd walimuhonga nani?
 
upuuzi mtupu, nikadhani una agenda yenye mantiki kumbe mpira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…