Unaweza kukuta ni utafiti tu umefanywa sehemu ambao bado haujatoa picha halisi ilivyo, ndo maana waandishi wa habari wanatakiwa kuwa makini na namna wanavyoripoti taarifa za kitafiti ili kuepusha taharuki miongoni mwa jamii......ni sawasawa na ile ya maji ya maiti na samaki.