LA7
JF-Expert Member
- Aug 26, 2019
- 655
- 2,369
Kama baba na mama wanakula na kulala vizuri halafu hawajui kabisa watoto wanakula Nini au wamekula Nini, hiyo familia inakuwa ni kama yatima tu
Haiwezekani siku mbili hakuna umeme nitaishije Mimi kama maisha yangu yanategemea umeme kila siku,
Halafu mnajiita viongozi mnakula na kulala vizuri huku watoto wenu wakicheza game kwenye tv mbona mitaa nyinyi mnayoishi umeme haukatiki?
Mpaka mwaka 2100 naamini tutakuwa pamoja na hayo mavitu mliojilimbikizia kwa jasho letu mtaviacha tu.