HOJA Serikali hii imeshindwa kueleza kwanini Saruji imeadimika kiasi hiki?

HOJA Serikali hii imeshindwa kueleza kwanini Saruji imeadimika kiasi hiki?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika

field marshall1

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2017
Posts
2,061
Reaction score
4,686
Serikali hii imeshindwa kueleza kwanini cement imeadimika kiasi hiki? Tunaona mchanga kwa millioni ya tonnes yanapelekwa Zanzibar, , Miradi mingi Zanzaibar inafanywa kwa pesa za kodi toka bara, wakati barabara za Tanganyika zimejaa mashimo,

AU ni wakati wa mama kujenga KIZIMKAZI? Ujenzi unaofanyika ZNZ haujawahi kutokea, HATUNA SHIDA NAO, ila pesa nyingi zinatoka hazina, zinapelekwa ZNZ, hii inafanyika kila siku.....

.Serikali ya mama inaiba kwa kwenda mbele. Akiondoka mama hakutabaki kitu huko HAZINA. Wanaume akina Kabudi na wenzio wamebaki wanamshangilia mama, Nchi hii ina watu wa ovyo, wa kuzoea kusifu all the time.
 
Na huu ndio ukweli wenyewe kabisa
Kazi ni kipimo cha utu
 
Hamjasema Bado Hadi mseme... Magu dictotor kipo wapi sasa tulieni hivyo hivyo... Watachukua Hadi makende yenu wayasafirishe Zanzibar....
Ni kweli wamechukua hadi makende yetu huku bara, Akina Kabudi, Mavunde, Mwigulu, Kikwete na Ridhiwani hawana makende tena. Yameshachukuliwa.
 
Aisee...
Hivyo vitu vinahamishwa bila kufuata utaratibu?
Hakuna utaratibu unaofuatwa, kuna vitu vinaletwa huku bara bila utaratibu? Viwanja na majumba watu kutoka bara hamruhusiwi halafu bado mnasema kuna muungano hapo. Wao wapo very protective na kisiwa chao lakini wataliano na wazungu wanapewa kwa mikataba ya miaka 99, ninyi wabara mnakatazwa.
 
Back
Top Bottom