Demarcation
Senior Member
- Jan 21, 2014
- 178
- 248
Kuna watu wengine wakisha pewa vibarua na mkataba wanakua kama wakata umeme wao!!Akiingia bila cheti nini kitaonesha kuwa hakuwa nacho? Yaani tofauti yake na aliyeingia na cheti itaonekana wapi? Maana hata mwenye cheti si atarudi nacho kwake?? Hao wa mlangoni hawana akili nao, sio kila amri au maagizo ni ya kufuata.. fuata maagizo halali tu yenye mantiki