Wafanyabiaahara na wajasiriamali wadogo wadogo mara kwa marq wamekuwa na malalamiko kwenye ulipaji wa leseni na kodi.Yani TRA hawaweki wazi kodi itakadiria kulingana na mtaji aliyowekeza mtu,mapato ghafi au faida,au kuwepo tu na biashara ndani ya frem imekula kwako utakamuliwa tu?Haya mambo myaweke wazi mnazua migogoro kati ya TRA na wafanyabiashara.pia kwenye keseni vivyo hivyo mfumo wa ulipaji isiwe lazima ofisini ila wawakilishi rasmi wawe wanapatikana eneo la wafanyabiashara ambao kutoka hapo kwenda kwenye maofisi ni shida.au wapewe maelekezo namna ya kulipia kwa simu kwakuwa si wote wanaomiliki cmu wanajuwa.Kubwa zaidi TRA na watu wa LESENI mnakuwa na ubabe mara mtembee na polisi au migambo wakati watu hawajakata kutekeleza huu ni unyanyasaji
Na tabia ya ubabe mnawambia wafanyabiashara wafunge biashara hadi walipe leseni si sawa.Wafanyabiashara wanategemea wauze kupitia biashara ndipo walipe sasa wakifunga wanapata wapi pesa za kulipa?wengine wanauza nyanya na vitunguu wakifunga vikioza watapata wapi hela zaidi ya hasara?