Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Pesa ikikaa sehemu moja ni rahisi kuipiga kuliko ukiitawanya walaji watakuwa wengi, ndiyo maana dikteta kila kitu alikuwa anaficha jeshiniLabda mimi sielewi maana ya kujenga upya ina maana yale majengo yanabomolewa pale muhimbiri? Kwa tunaokwenda muhimbili mara kwa mara tunaweza kukubaliana kuwa hichi anachisema Waziri hakina msingi kabisa maana kama ni muhimbili basi majengo baadhi yanahitaji ukarabati tuu na unadhifu tuu lakini sio kujengwa upya...huu ni uropokaji tuu wa waziri! Kuna maeneo mengi hayana hospitali zikajengwe na muhimbili iboreshewe vifaa tiba na madawa !
Bora ingejengwa hata Mwanza au Arusha ama Dodomaalikuwa anamainisha kuwa tayari dar kuna hospitali ya mlonganzila hivyo pesa hiyo ipelekwe mikoani ili wagonjwa wa kutoka huko wapunguziwe adha na gharama za kuja dar.kodi hazilipwi na wakazi wa dar pekee yake hivyo wananchi wote wanastahili huduma sawa.
Kwani imevunjwa?Inajengwa!
Hii nchi ya kiboya sana !Waziri wa afya Ummy Mwalimu amesema hospitali ya Muhimbili imejengwa miaka 60 iliyopita na miundombinu yake imeelemewa kabisa.
Hivyo serikali itajenga miundombinu mipya na ya kisasa kabisa itakayokidhi mahitaji ya miaka 50 ijayo itakayojikita kwenye Ubingwa na Ubobezi.
Chanzo: Muhimbili blog
ni ya taifa...Muhimbili ni hospitali ya rufaa
Naona inefaa wangeimarisha zile za kanda, mzigo wa Muhimbili ungepungua sana. Mfano kanda ya Mbeya, Mwanza, Dodoma, Moshi na Mtwara ziwe na viwezeshi vyote, inepunguza watu kwenda Muhimbili. Ili Muhimbili iwe ya kimataifa boresheni hizi za kanda. Kelele za waziri zinafanya hata wanaotaka kuja kutibiwa kuogopa.Waziri wa afya Ummy Mwalimu amesema hospitali ya Muhimbili imejengwa miaka 60 iliyopita na miundombinu yake imeelemewa kabisa.
Hivyo serikali itajenga miundombinu mipya na ya kisasa kabisa itakayokidhi mahitaji ya miaka 50 ijayo itakayojikita kwenye Ubingwa na Ubobezi.
Chanzo: Muhimbili blog
Waziri wa afya Ummy Mwalimu amesema hospitali ya Muhimbili imejengwa miaka 60 iliyopita na miundombinu yake imeelemewa kabisa.
Hivyo serikali itajenga miundombinu mipya na ya kisasa kabisa itakayokidhi mahitaji ya miaka 50 ijayo itakayojikita kwenye Ubingwa na Ubobezi.
Chanzo: Muhimbili blog
Nyingi zinaenda mikoa jirani kwa mfano mwanza tabora shy bukoba basi za musoma dar ni moja tu tena ni JMSio kweli, hapo kustand ya kwenda dar na stand ya mikoani, jiulize hapo kwenu asubh bus nying zinaenda wapi? Dar au koromije?
Shukuran kwa kuni sahihisha mkuuKati ya “is“ na “international“ kuna article an!
Mzena ni kama lugalo au kilwaroad ya polisi haiko maalumu kwa ummaSio Mlonganzila tu,kuna Mzena pia.
Inashangaza na kusikitisha sana kuona kuwa hawa mawaziri bado akili zao ziko Dar hadi miaka 50 ijayo!Waziri wa afya Ummy Mwalimu amesema hospitali ya Muhimbili imejengwa miaka 60 iliyopita na miundombinu yake imeelemewa kabisa.
Hivyo serikali itajenga miundombinu mipya na ya kisasa kabisa itakayokidhi mahitaji ya miaka 50 ijayo itakayojikita kwenye Ubingwa na Ubobezi.
Chanzo: Muhimbili blog
Ummy anatafuta pa kupiga hela...Nooooo, kuna Mikoa zaidi ya 25, Wilaya kibao hazina Hospitali, watu wanasafiri kutoka Mikoani kuja Muhimbili, hiyo fedha igawanywe ipelekwe Mikoani.
Dar tayari kuna hata Mloganzila haiko mbali.
Kajengeni Mikoani pia!
Kuna hospitali tumejenga Chato. Wengine waende kuleUnaita wivu? Kwa hiyo unaona ni sawa watu wa Mikoani kuja kutibiwa Muhimbili badala ya kujengewa Hospitali pia huko ?
Kweli Viongozi ni taswira ya watu wanaowaongoza!
Basi pandeni basi muje Muhimbili. Karibuni sanaSisi wenyewe tulioko huku musoma ,tukisema" twende stend ya kwenda mikoani" ,tunamaanisha na dar ikiwemo. So dar nako ni mikoani tuu.