We bwege kweli nani anaona fahari kuja dar il-hali anaumwa anasukumwa kwenye kiti?. Una matusi ya rejareja.Kwahiyo pesa itakayofanya marekebisho muhimbili itatosha kujenga mikoa yote 25 hospital kama ya muhimbili? Hao watu wako wa mikoani wenywe kwenda dar kutibiwa muhimbili wanaona fahari
Una akili nying hongera kwa waliokuzaaNooooo, kuna Mikoa zaidi ya 25, Wilaya kibao hazina Hospitali, watu wanasafiri kutoka Mikoani kuja Muhimbili, hiyo fedha igawanywe ipelekwe Mikoani.
Dar tayari kuna hata Mloganzila haiko mbali.
Kajengeni Mikoani pia!
Hospital sio majengo pekee Bali 80% ni wataalam na vifaaNooooo, kuna Mikoa zaidi ya 25, Wilaya kibao hazina Hospitali, watu wanasafiri kutoka Mikoani kuja Muhimbili, hiyo fedha igawanywe ipelekwe Mikoani.
Dar tayari kuna hata Mloganzila haiko mbali.
Kajengeni Mikoani pia!
Musoma pia tunahitaji hospitali kubwa kuliko ya Muhimbili tumeteseka sana miaka mingi tunakwenda Bugando MwanzaSisi wenyewe tulioko huku musoma ,tukisema" twende stend ya kwenda mikoani" ,tunamaanisha na dar ikiwemo. So dar nako ni mikoani tuu.
Tofautisha kati ya kujenga miundo mbinu na kujenga hospitali mpya!!inawezekana wewe hata Muhimbili yenyewe hujawahi fika au kupata huduma.Ni kweli panahitaji maboresho tena makubwa tu.Nooooo, kuna Mikoa zaidi ya 25, Wilaya kibao hazina Hospitali, watu wanasafiri kutoka Mikoani kuja Muhimbili, hiyo fedha igawanywe ipelekwe Mikoani.
Dar tayari kuna hata Mloganzila haiko mbali.
Kajengeni Mikoani pia!
Unaita wivu? Kwa hiyo unaona ni sawa watu wa Mikoani kuja kutibiwa Muhimbili badala ya kujengewa Hospitali pia huko ?
Kweli Viongozi ni taswira ya watu wanaowaongoza!
Na Mloganzila?Muhimbili ni hospitali ya rufaa
Unafikiri bila hivyo mbuzi atakula hadi wapi ?Ni bora wangejenga hospitali mpya maeneo mengine labda uelekeo wa Mbagala, Tegeta au Pugu...ingesaidiana na ile ya Mloganzila na hiyo ya Muhimbili sasa
Dakitari gani bingwa atakubali kuja Huko machakani,si Bora aende zake Botswana Kama Dr ulimbokaUnaita wivu? Kwa hiyo unaona ni sawa watu wa Mikoani kuja kutibiwa Muhimbili badala ya kujengewa Hospitali pia huko ?
Kweli Viongozi ni taswira ya watu wanaowaongoza!
Idadi ya watu inachagiza huduma za hali ya juu kuwekezwa!! Imagine six million people!?Dar es salaam ni mkoani pia!