Serikali iachane na kauli ya kutoa bure huduma za jamii, inapumbaza

1. Tuna maziwa makubwa matatu.

2. Tuna madini ya kila aina

3. Tuna gesi ya kutosha ( which means na mafuta tutakuwa nayo pia)

4. Tuna ardhi yenye rutuba ya kutosha.

5. Tuna bahari

6. Tuna Mbuga za Wanyama.

7. Tunalipa Kodi mbalimbali kupitia bidhaa mbalimbali tunazo nunua.

.....

Kupata huduma bora bila kulipa chochote ni haki yetu ya msingi na kikatiba.

Nchi ni ya kwetu sisi Sio ya viongozi.

Mtanzania amka. Zijue haki zako
 
Je hatuna akili kweli? Mimi nadhani waliopewa dhamana Wana tatizo gorofani, kuhusu gesi nadhani inaenda chini kwa chini kuelekea kwa hao waendesha mradi wa gesi
 
Wanasiasa Ndiyo wapumbavu wanawaambia wananchi kuhusu huduma bure wakijua haiwezekani

Upumbavu ni kipaji, mpumbavu ni mtu aliyebobea kwenye jambo fulani lakini ana mapuuza hatekelezi majukumu yake kwa weledi, a.k.a kujizima data
Kama amejizima data muwashie waifai😃😃😃
 
Hizo sera ni za kwenye makaratasi tu ila uhalisia haipo hivyo. Yaani sawa wanandoa wanapo kula kiapo kanisani ya kuwa hawataachana halafu baada ya muda wanaachana.
 
Hizo sera ni za kwenye makaratasi tu ila uhalisia haipo hivyo. Yaani sawa wanandoa wanapo kula kiapo kanisani ya kuwa hawataachana halafu baada ya muda wanaachana.
Soma vizuri nlichoandika. Sera haijatoa blanket exemption to all under fives or pregnant women. But some of us with directions from politicians are interpreting erroneously so.
 
Tangu uwepo wapi Tanzania hii uliskia kuna huduma ya bure mahala popote pale?
 
Kuna sayansi ya siasa,ikiitoa hii atakuwa mwingine anakubwaga chini
 
kwa mfano ikitokea mgombea akasema wastafu wa NSSF NITAWAPA 50 % UJUE ANAYETOA 40 % ANABWAGWA CHINI
 
Unakataa sera yetu ya chama cha mambuzi eenh
 
Safi kabisa, uzi mzuri kabisa siyo wa yule mwingine anamtuhumu Chalamila hadi anamuombea afukuzwe ukuu wa mkoa wakati Chalamila yupo sahihi na kaongea ukweli

Jana pia nimevuka na seatax za Azam kwenda Kigamboni kwa sh 500
Yes Exactly. Kumwambia mtu ule Ukweli unamweka awe huru japokuwa Ukweli huwa unamaumivu yake i.e. unauma.
Kama ni mgonjwa au mjamzito awe anafahamu na anajua hali halisi itakavyokuwa ili ajiandae kabla hajaondoka kwenda kwenye Huduma anayotaka. Afanye maamuzi hata kama ni magumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…