polokwane
JF-Expert Member
- Dec 16, 2018
- 3,361
- 5,842
Kumekuwa na changamoto kubwa sana viongozi wa Serikali kuja na maamuzi ya mihemko sana linapo kuja tukio lolote lisilofaa lililofanywa na mwalimu.
Idara zote zina watu wenye mapungufu sasa tatizo lililopo kwenye Serikali hii kila kiongozi huwa ni msemaji wa elimu na huwa wanakuja na maamuzi yenye mihemko sana.
Nitoe tu tahadhari maamuzi yawe ya hekima yasiyoathiri mwenendo wa elimu, wengi wenu huko maofisini hamuujui ugumu halisi uliopo kwenye shule hizi hasa za vijijini yani hamuelewi nanhamjui mambo yakoje watoto wanaishije huko majumbani mazingira yao yakoje
Punguzeni maamuzi ya mihemko inazidi kuharibu elimu.