Tuna vilaza wengi humu SerikaliniKumekuwa na changamoto kubwa sana viongozi wa serikali kuja na maamuzi ya mihemko sana linapo kuja tukio lolote lisilo faa lililo fanywa na mwalimu
Idara zote zina watu wenye mapungufu sasa tatizo lililopo kwenye serikali hii kila kiongozi huwa ni ksemaji wa elimu na huwa wanqkuja na maamuzi yenye mihemko sana
Nitoe tu tahadhari maamuzi yawe ya hekima yasiyo athiri mwenendo wa elimu, wengi wenu huko maofisini hamuujui ugumu halisi uliopo kwenye shule hizi hasa za vijijini yani hamuelewi nanhamjui mambo yakoje watoto wanaishije huko majumbani mazingira yao yakoje
Punguzeni maamuzi ya mihemko inazidi kuharibu elimu .
Kwa akili kama hizi hakika sio rahisi kupata watu wenye utashi,punguza mihemko.It doesn’t matter. Huwezi piga mtoto kama ng’ombe afu uangaliwe tu. Ila walimu ni wajinga sana. Wapumbavu wakubwa. We toto baya achana nalo. Not your problem . Waachie wazazi wake, why risk your job and a jail sentence kwa upuuzi. Punks
Huu ni mjadala wa kipumbavu ulioanzishwa na mpumbavu mmoja asiyejielewaKwani tumegombana mbona kama una visa kwani unatatizo gani? Akili yako ndogo kubali hilo kwanza , huu mjadala umekuzidi ,punguza mhemko .
Kaa pembeni wache wenye akili timamu wachangie.
Mimi Nimelelewa katika maadili mema nenda pale Temeke secondary waulize habari zangu watakupa majibuWewe mjerumani?
Sawa sasa wewe unahangaika nini na mjadala wa kipumbavu? Kwa nini usiuache tuu ili na wewe usiwe mpumbavu? basi we kaa kimya maana wewe haukuhusu, maanabhata chizi hujiona akaakili kuliko wazima anao waona mbele yakeHuu ni mjadala wa kipumbavu ulioanzishwa na mpumbavu mmoja asiyejielewa
Sawa basi wewe kama unajitambua kujitambua kwako wala hakuta jifichaMimi Nimelelewa katika maadili mema nenda pale Temeke secondary waulize habari zangu watakupa majibu
Mimi najitambua Nina Huruma Sana natoa Sana pia sipendi mihemko ya kuchapa watu /Mtu viboko matusi nk
Ahaaa Kwa hiyo nikifika tu pale TEMEKE SEC niulize HAYA LAND sio?Mimi Nimelelewa katika maadili mema nenda pale Temeke secondary waulize habari zangu watakupa majibu
Mimi najitambua Nina Huruma Sana natoa Sana pia sipendi mihemko ya kuchapa watu /Mtu viboko matusi nk