Execute JF-Expert Member Joined Sep 21, 2022 Posts 3,000 Reaction score 7,336 Mar 2, 2024 #1 Ni jambo la uhakika kwamba sasa hivi serikali imepata ongezeko la takribani milioni 10 aliyokuwa analipwa hayati Mwinyi. Napendekeza waajiriwe madaktari watano ili kuhudumia wananchi kutokana na hospitali binafsi kugomea bima ya afya.
Ni jambo la uhakika kwamba sasa hivi serikali imepata ongezeko la takribani milioni 10 aliyokuwa analipwa hayati Mwinyi. Napendekeza waajiriwe madaktari watano ili kuhudumia wananchi kutokana na hospitali binafsi kugomea bima ya afya.
Mama Edina JF-Expert Member Joined Dec 18, 2022 Posts 850 Reaction score 2,019 Mar 2, 2024 #2 Familia yake itakula nini
Mr Q JF-Expert Member Joined Aug 16, 2012 Posts 18,046 Reaction score 38,598 Mar 2, 2024 #3 Tunataka tupitishe watoto wa viongozi nao walipwe pensheni kaa kwa kutulia
Mama Edina JF-Expert Member Joined Dec 18, 2022 Posts 850 Reaction score 2,019 Mar 2, 2024 #4 Hili la ku control nhif linatokq wapi
RUSTEM PASHA JF-Expert Member Joined Jan 26, 2016 Posts 4,707 Reaction score 11,365 Mar 2, 2024 #5 Watoto wa viongozi waendelee kulipwa stahiki za wazazi wao pindi wanapofariki.😅😅 Hii nchi hii ndio maana wanajisemea ukiweza kwepa kodi we kwepa.
Watoto wa viongozi waendelee kulipwa stahiki za wazazi wao pindi wanapofariki.😅😅 Hii nchi hii ndio maana wanajisemea ukiweza kwepa kodi we kwepa.
Mufti kuku The Infinity JF-Expert Member Joined Sep 21, 2019 Posts 6,053 Reaction score 10,032 Mar 2, 2024 #6 Mijitu mipuuzi inawazaga ujinga asubuhi asubuhi
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Mar 2, 2024 #7 Mambo ya serikali hayaendi hivyo... Cc: Mahondaw
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 67,252 Reaction score 168,563 Mar 2, 2024 #8 Smart911 said: Mambo ya serikali hayaendi hivyo... Cc: Mahondaw Click to expand... Serekare haioangiwi lo inafanya ikiamua yenyewe
Smart911 said: Mambo ya serikali hayaendi hivyo... Cc: Mahondaw Click to expand... Serekare haioangiwi lo inafanya ikiamua yenyewe