Justine Marack
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 612
- 1,698
Hivi mkitaka kulalamikia Ukristo wenu kwani ni lazima muutaje na Uislam?Katika kundi hili wapi wengi ambao hulazimika kwenda Makanisani au msikitini kwa sababu moja tu.
Sababu kuu ni hofu ya MAZISHI pindi wanapokufa au kufiwa na wapendwa wao.
Unaweza kuniambia misikiti inatumiaje kigezo cha mazishi kumkomoa mtu ambaye hajashiriki kikamilifu katika mambo ya dhehebu lake?Hata Makanisa na misikiti imekua ikitimia kigezo Cha MAZISHI kama njia ya kumkomoa mtu ambaye hajashiriki kikamilifu katik mambo ya dhehebu lake.
Wewe mpumbavu hausali halafu unataka uje kuzikwa na kanisa. Hii mada ya kijinga sanaKatika kufanya utafiti wangu binafsi, Nimegundua kuwa Kuna kundi kubwa sana la jamii ambao hawaamini au hawasali katika dhehebu Wala dini yoyote.
Katika kundi hili wapi wengi ambao hulazimika kwenda Makanisani au msikitini kwa sababu moja tu. Sababu kuu ni hofu ya mazishi pindi wanapokufa au kufiwa na wapendwa wao.
Hata Makanisa na misikiti imekua ikitimia kigezo Cha MAZISHI kama njia ya kumkomoa mtu ambaye hajashiriki kikamilifu katik mambo ya dhehebu lake.
Sas ni wakati maalum wa Serikali au watu binafsi kuanzisha Makampuni ya MAZISHI ili kutoa haki kwa Kila mmoja kustiriwa kadri apendavyo.
Lakini sikuona pahala mleta mada ameonyesha au kujitambulisha kuwa Mkristo wala kulalamika mazishi ya Kikristo.Hivi mkitaka kulalamikia Ukristo wenu kwani ni lazima muutaje na Uislam?
Unaweza kuniambia misikiti inatumiaje kigezo cha mazishi kumkomoa mtu ambaye hajashiriki kikamilifu katika mambo ya dhehebu lake?
Unaujua utaratibu wa Mazishi kwa mujibu wa Uislam?
...Nadhani Sio Kazi ya Serikali. Ni Kazi ya Wanajamii wafanya Biashara kuiona na kuichangamkia Fursa hiyo...Katika kufanya utafiti wangu binafsi, Nimegundua kuwa Kuna kundi kubwa sana la jamii ambao hawaamini au hawasali katika dhehebu Wala dini yoyote.
Katika kundi hili wapi wengi ambao hulazimika kwenda Makanisani au msikitini kwa sababu moja tu. Sababu kuu ni hofu ya mazishi pindi wanapokufa au kufiwa na wapendwa wao.
Hata Makanisa na misikiti imekua ikitimia kigezo Cha MAZISHI kama njia ya kumkomoa mtu ambaye hajashiriki kikamilifu katik mambo ya dhehebu lake.
Sas ni wakati maalum wa Serikali au watu binafsi kuanzisha Makampuni ya MAZISHI ili kutoa haki kwa Kila mmoja kustiriwa kadri apendavyo.
Ukiwa na hela utazikwa tu hata kama hujawahi kwenda kanisani mchungaji na wainjilisti watakuja vizuri tu.Katika kufanya utafiti wangu binafsi, Nimegundua kuwa Kuna kundi kubwa sana la jamii ambao hawaamini au hawasali katika dhehebu Wala dini yoyote.
Katika kundi hili wapi wengi ambao hulazimika kwenda Makanisani au msikitini kwa sababu moja tu. Sababu kuu ni hofu ya mazishi pindi wanapokufa au kufiwa na wapendwa wao.
Hata Makanisa na misikiti imekua ikitimia kigezo Cha MAZISHI kama njia ya kumkomoa mtu ambaye hajashiriki kikamilifu katik mambo ya dhehebu lake.
Sas ni wakati maalum wa Serikali au watu binafsi kuanzisha Makampuni ya MAZISHI ili kutoa haki kwa Kila mmoja kustiriwa kadri apendavyo.
Ni vema ibada ikawa ni uvuvio toka moyoni na sio kwa manufaa ya mazishi. HUDUMA za mazishi kiserikali zinatoa uhuru kwa mtu kuishi atakavyo.Ni nzuri sana hii,inasaidia watu kumrudia mungu wao hata kwa lazima. Unaweza kuona mwanzoni mtu anaenda kuabudu kwa lazima lakini baada ya muda anazoea na kuona ni utaratibu tu kama ilivyo muhim kwa binadamu kwenye suala la kula.
hii ni psychological treatment na hasa ukizingatia sisi ni binadamu kwahyo kujisahahu kupo na kinachofanyika syo kukomeshana kama unavyodai bali ni kukumbushana tu.
Kwani shida iko wapi mtu akifa kibali cha mazishi hutolewa sio lazima azikiwe na viongozi wa dini yeyoteKatika kufanya utafiti wangu binafsi, Nimegundua kuwa Kuna kundi kubwa sana la jamii ambao hawaamini au hawasali katika dhehebu Wala dini yoyote.
Katika kundi hili wapi wengi ambao hulazimika kwenda Makanisani au msikitini kwa sababu moja tu. Sababu kuu ni hofu ya mazishi pindi wanapokufa au kufiwa na wapendwa wao.
Hata Makanisa na misikiti imekua ikitimia kigezo Cha MAZISHI kama njia ya kumkomoa mtu ambaye hajashiriki kikamilifu katik mambo ya dhehebu lake.
Sas ni wakati maalum wa Serikali au watu binafsi kuanzisha Makampuni ya MAZISHI ili kutoa haki kwa Kila mmoja kustiriwa kadri apendavyo.
Na mimi namshangaa mleta madaShida ni nini? Au vibali vya mazishi vinatolewa kwenye nyumba za ibada?
Nadhani suala la maana halisi ya kuwepo kwa dini linaweza kuwa geni kwako lakini dini inasaidia vitu vingi sana ukiondoa suala la muhim la kuona pepo au kufika mbinguni kama vitabu vya dini vinavyosema.Ni vema ibada ikawa ni uvuvio toka moyoni na sio kwa manufaa ya mazishi. HUDUMA za mazishi kiserikali zinatoa uhuru kwa mtu kuishi atakavyo.
Kwani waislamu mnasilimisha maiti?Hivi mkitaka kulalamikia Ukristo wenu kwani ni lazima muutaje na Uislam?