Serikali iangalie huduma ya mazishi kwa wasiosali/wasioamini dini

Serikali iangalie huduma ya mazishi kwa wasiosali/wasioamini dini

Fungu la kumi ni maagizo ya muumini kama sehem ya ibada.
Kwa shetani wanatoa fungu la 60 yaani unakula 40,60 ni za shetani.
Kwa Mungu unakula 90 ,10 ya Mungu
Wajinga ndiyo waliwao.

Huyo Mungu ndiyo alikwambia uzipeleke kanisani? Fikiri.
 
Wsjinga ndiyo waliwao.

Huyo Mungu ndiyo alikwambia uzipeleke kanisani? Fikiri.
Sasa ulitaka ziende bar,injili itaendaje bila pesa Mungu ndie analipa nauli ya ndege, hotel, daladala,umeme,maji,walinzi, wafanyakzi wa kanisa, chakula,uchapaji,matangazo ya radio,tv, magazeti, kuhudumia wakimbizi,wajane, yatima,wagonjwa.nk hizi baadhi ya kazi za sadaka,zaka, michango na majitoleo mengine kanisani.
Zote hizo ni kazi za Mungu kupitia watu wa Mungu.
Funguka
 
Katika kufanya utafiti wangu binafsi, Nimegundua kuwa Kuna kundi kubwa sana la jamii ambao hawaamini au hawasali katika dhehebu Wala dini yoyote.

Katika kundi hili wapi wengi ambao hulazimika kwenda Makanisani au msikitini kwa sababu moja tu. Sababu kuu ni hofu ya mazishi pindi wanapokufa au kufiwa na wapendwa wao.

Hata Makanisa na misikiti imekua ikitimia kigezo Cha MAZISHI kama njia ya kumkomoa mtu ambaye hajashiriki kikamilifu katik mambo ya dhehebu lake.

Sas ni wakati maalum wa Serikali au watu binafsi kuanzisha Makampuni ya MAZISHI ili kutoa haki kwa Kila mmoja kustiriwa kadri apendavyo.
Tatizo watu wasio jihusisha dani niwwengi sana ila awako tayali kukubali kuwa awaamini dini wakiulizwa kwa kuwa wengi wao wanayo majina ya kiarabu na kisungu ujiita waisilamu au wakirito ila kwa waisilamu ilimradi unaitwa shambani tu hata tangu umezaliwa ukuwai kufika msikitini watakuzika tu
 
Wewe mpumbavu hausali halafu unataka uje kuzikwa na kanisa. Hii mada ya kijinga sana
Huo utaratibu ni according to Bible au nini? anyway ni mambo ya kipuuzi tuu, bibi yangu mkatoliki hakuwa mtu wa kwenda kanisanai kwa miaka mingi sana, alipofariki kanisa lake walileta huo upuuzi, alikuja mjomba anajua kupiga sala na tukamzika kwa heshima zote bla issue yeyote, bralifaken kabisa hizi dini za kinafiki
 
Hata Makanisa na misikiti imekua ikitimia kigezo Cha MAZISHI kama njia ya kumkomoa mtu ambaye hajashiriki kikamilifu katik mambo ya dhehebu lake.

Sas ni wakati maalum wa Serikali au watu binafsi kuanzisha Makampuni ya MAZISHI ili kutoa haki kwa Kila mmoja kustiriwa kadri apendavyo.
  1. Ubaguzi upo kwa sisi wakristo ambako ndiko wametutega kwamba usiposajiliwa kwenye vitabu wewe hutambuliwi, ukisajiliwa lakini huna bahasha hutambuliwi, ukiwa na bahasha usiweke ahadi hutambuliwi hata kama unaingia kanisani kila siku, mbaya zaidi ukiwa unatoa sadaka nyembamba kulingana na uwezo wako lile genge linalohesabu sadaka litavujisha mtaani kuwa fulani anatoa 200.
  2. Waislam hawako hivyo, wanaweza kumzika yeyote hata awe hana dini, alimradi wakati wa uhai wake atamke kuwa akifa azikwe kwa imani yao na ndivyo ilivyofanyika kwa Prof. Ngonyani Maji Marefu aliyekuwa anaitwa Steven kama sijakosea
 
Wafu hawajui neno lolote,

Ibada haina mana kwa mfu,ispokua kwa walio hai tu
 
Huo utaratibu ni according to Bible au nini? anyway ni mambo ya kipuuzi tuu, bibi yangu mkatoliki hakuwa mtu wa kwenda kanisanai kwa miaka mingi sana, alipofariki kanisa lake walileta huo upuuzi, alikuja mjomba anajua kupiga sala na tukamzika kwa heshima zote bla issue yeyote, bralifaken kabisa hizi dini za kinafiki
Mambo ya Bibi yako peleka kwenye ukoo wenu. Kwanini utusimulie ujinga wenu hapa
 
Mtoa mada umeandika kitu cha maana sana.
Dini ya Kikristo inabagua sana huduma ya mazishi.

Mkatoriki hataki kabisa kumzika Msabato hivyo hivyo kwa Muanglikana kwa Murutheri.

Yaani Kiongozi wa kidini anakataa kuendesha ibada ya kumzika mtu hadi awe wa Dini yake.

Sijui hili fundisho waliagizwa na nani maana Yesu alihudumia mtu yeyote yule ilimradi awe Binadamu.

Mkatoriki hataki kabisa kumzika Mwislamu. Wala Mpagani.

Hakuna namna sisi Wakristo ni lazima tuwe karibu na Dhehebu fulani ili kuzikwa kwa heshima.
Tuwe karibu na dhehebu kubwa
 
ahhh jamaa kafikiri kaona kanisani haendi sasa atazikwaje?kamua kutia mada ili atafute ufumbuzi.nenda kasali kaka kabla ya mambo hajakufika
 
Kweli aisee kuna haja pia ya kuwa na zile huduma za kichoma moto za Public wengine tunatamani kuchomwa moto tukifa
 
Kwa waislamu hata akiwa Muislamu jina haujawahi kwenda msikitini , Mzee wa mabangi na masigara kama Maghayo unazikwa tu kiislamu bila tabu yeyote.
 
Ukienda Msikiti wa Maamur pale Upanga utaona pameandikwa Huduma za Mazishi ni 30,000 ila kama hauna hela ni bure, unapewa Gari ya maiti, facilities za kumsafisha marehemu na mambo mengine. Kifupi kwa waisilamu alichosema mtoa mada hakipo, hatuachi mtu awe mzoga,

Kama mtu sio muisilamu hatutomswalia tu, ila tunamzika.
Kwa maana hiyo malalamiko ya mleta mada ni kama hayapo maana kama nyie upande huo mnatoa huduma ya mazishi kwa mtu yeyote ata asiye wa dini yenu haya malalamiko ya mleta mada yanatoka wapi.

Maana wakikataliwa kuzikwa huko ukristoni nyie si mnawakubali kuzika
 
Back
Top Bottom