Wajinga ndiyo waliwao.Fungu la kumi ni maagizo ya muumini kama sehem ya ibada.
Kwa shetani wanatoa fungu la 60 yaani unakula 40,60 ni za shetani.
Kwa Mungu unakula 90 ,10 ya Mungu
Sasa ulitaka ziende bar,injili itaendaje bila pesa Mungu ndie analipa nauli ya ndege, hotel, daladala,umeme,maji,walinzi, wafanyakzi wa kanisa, chakula,uchapaji,matangazo ya radio,tv, magazeti, kuhudumia wakimbizi,wajane, yatima,wagonjwa.nk hizi baadhi ya kazi za sadaka,zaka, michango na majitoleo mengine kanisani.Wsjinga ndiyo waliwao.
Huyo Mungu ndiyo alikwambia uzipeleke kanisani? Fikiri.
Tatizo watu wasio jihusisha dani niwwengi sana ila awako tayali kukubali kuwa awaamini dini wakiulizwa kwa kuwa wengi wao wanayo majina ya kiarabu na kisungu ujiita waisilamu au wakirito ila kwa waisilamu ilimradi unaitwa shambani tu hata tangu umezaliwa ukuwai kufika msikitini watakuzika tuKatika kufanya utafiti wangu binafsi, Nimegundua kuwa Kuna kundi kubwa sana la jamii ambao hawaamini au hawasali katika dhehebu Wala dini yoyote.
Katika kundi hili wapi wengi ambao hulazimika kwenda Makanisani au msikitini kwa sababu moja tu. Sababu kuu ni hofu ya mazishi pindi wanapokufa au kufiwa na wapendwa wao.
Hata Makanisa na misikiti imekua ikitimia kigezo Cha MAZISHI kama njia ya kumkomoa mtu ambaye hajashiriki kikamilifu katik mambo ya dhehebu lake.
Sas ni wakati maalum wa Serikali au watu binafsi kuanzisha Makampuni ya MAZISHI ili kutoa haki kwa Kila mmoja kustiriwa kadri apendavyo.
Huo utaratibu ni according to Bible au nini? anyway ni mambo ya kipuuzi tuu, bibi yangu mkatoliki hakuwa mtu wa kwenda kanisanai kwa miaka mingi sana, alipofariki kanisa lake walileta huo upuuzi, alikuja mjomba anajua kupiga sala na tukamzika kwa heshima zote bla issue yeyote, bralifaken kabisa hizi dini za kinafikiWewe mpumbavu hausali halafu unataka uje kuzikwa na kanisa. Hii mada ya kijinga sana
hii ndi pointUkiwa na hela utazikwa tu hata kama hujawahi kwenda kanisani mchungaji na wainjilisti watakuja vizuri tu.
Hata Makanisa na misikiti imekua ikitimia kigezo Cha MAZISHI kama njia ya kumkomoa mtu ambaye hajashiriki kikamilifu katik mambo ya dhehebu lake.
Sas ni wakati maalum wa Serikali au watu binafsi kuanzisha Makampuni ya MAZISHI ili kutoa haki kwa Kila mmoja kustiriwa kadri apendavyo.
Mambo ya Bibi yako peleka kwenye ukoo wenu. Kwanini utusimulie ujinga wenu hapaHuo utaratibu ni according to Bible au nini? anyway ni mambo ya kipuuzi tuu, bibi yangu mkatoliki hakuwa mtu wa kwenda kanisanai kwa miaka mingi sana, alipofariki kanisa lake walileta huo upuuzi, alikuja mjomba anajua kupiga sala na tukamzika kwa heshima zote bla issue yeyote, bralifaken kabisa hizi dini za kinafiki
Huihui umechoka stress zinakumaliza, kapige supu ya kongolo nitalipiaMambo ya Bibi yako peleka kwenye ukoo wenu. Kwanini utusimulie ujinga wenu hapa
Kwa maana hiyo malalamiko ya mleta mada ni kama hayapo maana kama nyie upande huo mnatoa huduma ya mazishi kwa mtu yeyote ata asiye wa dini yenu haya malalamiko ya mleta mada yanatoka wapi.Ukienda Msikiti wa Maamur pale Upanga utaona pameandikwa Huduma za Mazishi ni 30,000 ila kama hauna hela ni bure, unapewa Gari ya maiti, facilities za kumsafisha marehemu na mambo mengine. Kifupi kwa waisilamu alichosema mtoa mada hakipo, hatuachi mtu awe mzoga,
Kama mtu sio muisilamu hatutomswalia tu, ila tunamzika.