Duh Aisee
JF-Expert Member
- Jul 28, 2025
- 1,297
- 860
Mambo mengi sana huyu kijanaMara kamla mtoto wa diwani, 😀😀😀
Kala mke wa mwarabu
Mambo mengi sana huyu kijanaMara kamla mtoto wa diwani, 😀😀😀
Kala mke wa mwarabu
Kumbe wameanza muda sana, yeah hawa ni kuwakazia tuHuyo Fala 2015 alinisimamia utafiti akaniletea huo ujinga akitaka nimpe milioni moja. Hatakuja kusahau nilichomfanyia. Anaitwa Maning Yusuph. anawasumbuwa msiojua namna ya kuwawekea mitego wajinga kama hao
Yes, na huo ujinga ulizidi baada ya Dkt. Mwafisi kustaafu na kuwaachia Idara watu wajinga wajingaWaaliu hawa hawa wanaosimamia maboksi ya kura za kijani?!
Sio vyuo vyoteHii naona iko vyuo vyote, poleni vijana wa Huria