Serikali iangalie walimu wanaosimamia somo la Utafiti (Research) OPEN University, kuna mmoja ipo siku kitamkuta kitu

Huyo Fala 2015 alinisimamia utafiti akaniletea huo ujinga akitaka nimpe milioni moja. Hatakuja kusahau nilichomfanyia. Anaitwa Maning Yusuph. anawasumbuwa msiojua namna ya kuwawekea mitego wajinga kama hao
 
Kumbe wameanza muda sana, yeah hawa ni kuwakazia tu
 
Mbappe to score
Kane to score
Lamine to score

Week ya Ballon d’Or
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…