lingamba lidodi
JF-Expert Member
- Nov 15, 2018
- 964
- 1,137
Wana bodi saalam!
Sekta ya kilimo ni muhimu sana kwa uchumi wa nchi yetu,lakini kwa bahati MBAYA sana serikali ya Tanzania imeitupilia mbali.
Panahitaji mageuzi ya dhati na makubwa ktk sekta hii ili kilimo niwe na mkulima mmoja mmoja hadi taifa.
Serikali inataki unatakiwa kufanya mambo matatu makubwa.
1. Ujenzi wa miundombinu ya umwagiliaji nchi nzima.
2. Ujenzi wa viwanda vya mbolea
3. Uanzishwaji wa bima kilimo.
Kama serikali imeweza bima mbalimbali inashindwaje kuanzisha bima ya kilimo,ili mkulima wa nchi hii anapopata hasara bima iweze kumfidia ili aweze kurudi tena shamba ni msimu unaofuta.
KARIBUNI
Sent using Jamii Forums mobile app