Serikali ianzishe Education Cost Sharing kupitia simu za mkononi kugharamia elimu ya msingi na elimu ya juu kwa Watanzania wote

wazo ni zuri ila sio kila anaemiliki simu ana uwezo mkubwa kihivo, pia sio rahisi sana serikali kuchangiwa maaana kuna watu wnaweza fanya yao
Education cost sharing inaweza pia kuwa introduced katika manunuzi ya bidhaa na huduma nyinginezo mfano kwenye mauzo ya viwanja,n.k na si kupitia simu za mkononi pekee.

Kinachotakiwa ni watu kukaa chini na kufanya maamuzi kulingana na data walizonazo na uzuri serikali wana data za mauzo kwenye kila eneo hivyo wakiwa serious hawawezi kushindwa.

Hivi unajua hata huduma kama salary advance ni watu wenye akili walikaa chini wakaona fursa na wakaja na hilo wazo na ninahaki mabenki yanavuna hela nyingi tu kupitia hii huduma.

Tatizo letu ni wazito kufikiri na ni waoga wa kujaribu na hivyo tumekuwa watu wa kuiga tu vya wenzetu.
 
Naomba uzi uwekwe kabisa story of change
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…