Serikali ianzishe “empty home tax”, kuna nyumba hazina watu Kagera na Kilimanjaro

YEHODAYA

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2015
Posts
36,902
Reaction score
52,001
Nch nyingine mfano Canada nyumba kama haikaliwi na mtu kuna Kodi inaitwa empty home tax ambayo ni asilimia moja ya thamani ya nyumba.

Kagera na Kilimanjaro vijijini watu wamejenga majumba ya mamilioni hayana watu. Walipishwe hii kodi.

Lakini tunaweza kwenda mbali zaidi tukawa na empty room tax, wewe mtu anajenga jumba la ghorofa lina vyumba kibao unakuta anaiishi yeye, mkewe na mtoto mmoja. Au nyumba ya vyumba sita mtu anaiishi na mkewe tu. Hayo mavyumba mengine yapigwe kodi ya empty room tax
 
Nch zingine mfano Canada nyumba Kama haikaliwi na mtu Kuna Kodi inaitwa empty home tax ambayo Ni asilimia Moja ya thamani ya nyumba.Kagera na Kilimanjaro vijijini watu wamejenga majumba ya mamilioni hayana watu .Walipishwe hii Kodi.Lakini tunaweza kwenda mbali zaidi tukawa na empty room tax wewe mtu anajenga jumba la ghorofa Lina vyumba kibao unakuta anaiishi yeye, mkewe na mtoto mmoja.Au nyumba ya vyumba sita mtu anaiishi na mkewe tu.Hayo mavyumba mengine yapigwe Kodi ya empty room tax
Wakati anajenga hio nyumba ulimsaidia?au serikali ilichangia mapato kumsaidia huyo aliejenga hio nyumba?
 
Nch zingine mfano Canada nyumba Kama haikaliwi na mtu Kuna Kodi inaitwa empty home tax ambayo Ni asilimia Moja ya thamani ya nyumba.Kagera na Kilimanjaro vijijini watu wamejenga majumba ya mamilioni hayana watu .Walipishwe hii Kodi.Lakini tunaweza kwenda mbali zaidi tukawa na empty room tax wewe mtu anajenga jumba la ghorofa Lina vyumba kibao unakuta anaiishi yeye, mkewe na mtoto mmoja.Au nyumba ya vyumba sita mtu anaiishi na mkewe tu.Hayo mavyumba mengine yapigwe Kodi ya empty room tax
Ni nini hasara zitokanazo na jumba kubwa lisilo na watu kwenye jamii ? nyumba zinakuuma sana au ? Ili watu wasijenge ? Kama vile wivu uliopitiliza ?
Naomba utuelimishe hapa mkuu ! !
 
Linazuia watu kupata upepo mzuri .Jengo roho mbaya hilo lisingekuwepo watu wangepata hewa Safi na upepo mwanana Kama wako beach.
 
Nch zingine mfano Canada nyumba Kama haikaliwi na mtu Kuna Kodi inaitwa empty home tax ambayo Ni asilimia Moja ya thamani ya nyumba.Kagera na Kilimanjaro vijijini watu wamejenga majumba ya mamilioni hayana watu .Walipishwe hii Kodi.Lakini tunaweza kwenda mbali zaidi tukawa na empty room tax wewe mtu anajenga jumba la ghorofa Lina vyumba kibao unakuta anaiishi yeye, mkewe na mtoto mmoja.Au nyumba ya vyumba sita mtu anaiishi na mkewe tu.Hayo mavyumba mengine yapigwe Kodi ya empty room tax
wasukuma wa CHATO mawivu sana, basi, hamisheni na mlima kilimanjaro yaishe, pumbaz kabisa
 
MKUBWA MZIMA UMEAMKA NA MAWAZO HAYA KWELI😂😂😂
Sasa mtu ana jumba tupu kupangisha hataki basi yeye Ndie alipe empty home taxi.Una nyumba Ina vyumba kibao wanalala panya hutaki kupangisha wewe ndio ulipe Sasa empty room tax.Kodi ya roho mbaya aliyonayo.
 
Nch zingine mfano Canada nyumba Kama haikaliwi na mtu Kuna Kodi inaitwa empty home tax ambayo Ni asilimia Moja ya thamani ya nyumba.Kagera na Kilimanjaro vijijini watu wamejenga majumba ya mamilioni hayana watu .Walipishwe hii Kodi.Lakini tunaweza kwenda mbali zaidi tukawa na empty room tax wewe mtu anajenga jumba la ghorofa Lina vyumba kibao unakuta anaiishi yeye, mkewe na mtoto mmoja.Au nyumba ya vyumba sita mtu anaiishi na mkewe tu.Hayo mavyumba mengine yapigwe Kodi ya empty room tax
Kwa mtindo huu utafika mpaka empty bed na empty chair tax. You will tax yourself into poverty.

Further poverty, that is.

Sio kila unachoona Canada ni cha kuiga.
 
Roho mbaya!hiyo
Serikali haiwezi fanya kitu kama hicho wewe hapa Tanzania

Ova
 
Nch zingine mfano Canada nyumba Kama haikaliwi na mtu Kuna Kodi inaitwa empty home tax ambayo Ni asilimia Moja ya thamani ya nyumba.Kagera na Kilimanjaro vijijini watu wamejenga majumba ya mamilioni hayana watu .Walipishwe hii Kodi.Lakini tunaweza kwenda mbali zaidi tukawa na empty room tax wewe mtu anajenga jumba la ghorofa Lina vyumba kibao unakuta anaiishi yeye, mkewe na mtoto mmoja.Au nyumba ya vyumba sita mtu anaiishi na mkewe tu.Hayo mavyumba mengine yapigwe Kodi ya empty room tax
Wivu utakuuwa wewe yaani unapigia hesabu nyumba ya mtu kukaa yeye peke yake na huku vyumba viko empty ??Unajua gharama zake? Mbona alivyokuwa anajenga hukumshangaa kwamba jumba lote hili utakaa na Nani??
 
Back
Top Bottom