Serikali ianzishe “empty home tax”, kuna nyumba hazina watu Kagera na Kilimanjaro

Serikali ianzishe “empty home tax”, kuna nyumba hazina watu Kagera na Kilimanjaro

Kweli kuna wakati nilikua nina jadiri na kujibizana na mleta mada...lakini katika ili nawataarifu sitorudia kujibizana na huyu mtu.
Ahsante
Ni Haki yako ya kidemokrasia kujibizana au kutojibizana wasalimie
 
Canada wenye hiyo empty home tax Ni Maskini?
Ile kodi ina apply Vancouver na siyo countyside. Nadhani ni vizuri iwepo ila ichajiwe kwa nyumba za mijini hasa Chato. Maana kuna mtu anajumba kuubwa huko Chato lakini 97% ya mwaka hamna anayeishi huko
 
Mleta mada hizo nyumba was nazosema huwa wanaachwa housekeepers, shamba boys na maids kuzitunza. Hazikai tupu.
 
Nch zingine mfano Canada nyumba Kama haikaliwi na mtu Kuna Kodi inaitwa empty home tax ambayo Ni asilimia Moja ya thamani ya nyumba.Kagera na Kilimanjaro vijijini watu wamejenga majumba ya mamilioni hayana watu .Walipishwe hii Kodi.Lakini tunaweza kwenda mbali zaidi tukawa na empty room tax wewe mtu anajenga jumba la ghorofa Lina vyumba kibao unakuta anaiishi yeye, mkewe na mtoto mmoja.Au nyumba ya vyumba sita mtu anaiishi na mkewe tu.Hayo mavyumba mengine yapigwe Kodi ya empty room tax
Kwa hiyo kama canada wana sapoti usagaji na sisi tuwaige?
 
Mleta mada hizo nyumba was nazosema huwa wanaachwa housekeepers, shamba boys na maids kuzitunza. Hazikai tupu.
Hao house keepers na shamba boys hukaa servant quarter jumba lenyewe huwa tupu
 
Canada wenye hiyo empty home tax Ni Maskini?

Ni hivi, umasikini wako ndiyo unakufanya uwe na wivu na nyumba za watu.

Eti kwa kuwa mtu kajenga nyumba na hakai au anakaa nusu basi sehemu iliyobakia alipie kodi.

Ungekuwa siyo umasikini usingeandika hivi.

Nina maanisha, tajiri hawezi kutoa mawazo finyu kias hiki maana anajua adha ya ujenzi.

Ungekuwa umejenga usingekuwa na fikra mfu kiasi hiki
 
Mikoa mingine kama Singida Dodoma na kwingineko vijinini nao watozwe kodi kwa kuishi ktk vichuguu(nyumba za tembe) kama mchwa ili wajiupgrade na kujenga nyumba za kisasa kuufukuza umasikini na kuwa na makazi bora nia iwe ni maendeleo.
 
Ile kodi ina apply Vancouver na siyo countyside. Nadhani ni vizuri iwepo ila ichajiwe kwa nyumba za mijini hasa Dar na Chato. Maana kuna mtu anajumba kuubwa huko Chato lakini 90% ya mwaka hamna anayelala
Hapo hutamwona YEHODAYA akikuquote!Nimemwambia amekurupuka baada ya kusoma ile case ya yule mke wa bilionea wa China!!!
 
Back
Top Bottom