Wakati anajenga hio nyumba ulimsaidia?au serikali ilichangia mapato kumsaidia huyo aliejenga hio nyumba?Nch zingine mfano Canada nyumba Kama haikaliwi na mtu Kuna Kodi inaitwa empty home tax ambayo Ni asilimia Moja ya thamani ya nyumba.Kagera na Kilimanjaro vijijini watu wamejenga majumba ya mamilioni hayana watu .Walipishwe hii Kodi.Lakini tunaweza kwenda mbali zaidi tukawa na empty room tax wewe mtu anajenga jumba la ghorofa Lina vyumba kibao unakuta anaiishi yeye, mkewe na mtoto mmoja.Au nyumba ya vyumba sita mtu anaiishi na mkewe tu.Hayo mavyumba mengine yapigwe Kodi ya empty room tax
Ni nini hasara zitokanazo na jumba kubwa lisilo na watu kwenye jamii ? nyumba zinakuuma sana au ? Ili watu wasijenge ? Kama vile wivu uliopitiliza ?Nch zingine mfano Canada nyumba Kama haikaliwi na mtu Kuna Kodi inaitwa empty home tax ambayo Ni asilimia Moja ya thamani ya nyumba.Kagera na Kilimanjaro vijijini watu wamejenga majumba ya mamilioni hayana watu .Walipishwe hii Kodi.Lakini tunaweza kwenda mbali zaidi tukawa na empty room tax wewe mtu anajenga jumba la ghorofa Lina vyumba kibao unakuta anaiishi yeye, mkewe na mtoto mmoja.Au nyumba ya vyumba sita mtu anaiishi na mkewe tu.Hayo mavyumba mengine yapigwe Kodi ya empty room tax
Linazuia watu kupata upepo mzuri .Jengo roho mbaya hilo lisingekuwepo watu wangepata hewa Safi na upepo mwanana Kama wako beach.Ni nini hasara zitokanazo na jumba kubwa lisilo na watu kwenye jamii ? nyumba zinakuuma sana au ? Ili watu wasijenge ? Kama vile wivu uliopitiliza ?
Naomba utuelimishe hapa mkuu ! !
Canada si tanzania. Mtu alipe kodi ya kiwanja... kodi ya jengo lake mwenyewe. Eti asipo ishi humo alipe kodi tena? Una mpangia nani?Canada wenye hiyo empty home tax Ni Maskini?
Linazuia watu kupata upepo mzuri .Jengo roho mbaya hilo lisingekuwepo watu wangepata hewa Safi na upepo mwanana Kama wako beach.
wasukuma wa CHATO mawivu sana, basi, hamisheni na mlima kilimanjaro yaishe, pumbaz kabisaNch zingine mfano Canada nyumba Kama haikaliwi na mtu Kuna Kodi inaitwa empty home tax ambayo Ni asilimia Moja ya thamani ya nyumba.Kagera na Kilimanjaro vijijini watu wamejenga majumba ya mamilioni hayana watu .Walipishwe hii Kodi.Lakini tunaweza kwenda mbali zaidi tukawa na empty room tax wewe mtu anajenga jumba la ghorofa Lina vyumba kibao unakuta anaiishi yeye, mkewe na mtoto mmoja.Au nyumba ya vyumba sita mtu anaiishi na mkewe tu.Hayo mavyumba mengine yapigwe Kodi ya empty room tax
Sasa mtu ana jumba tupu kupangisha hataki basi yeye Ndie alipe empty home taxi.Una nyumba Ina vyumba kibao wanalala panya hutaki kupangisha wewe ndio ulipe Sasa empty room tax.Kodi ya roho mbaya aliyonayo.MKUBWA MZIMA UMEAMKA NA MAWAZO HAYA KWELI😂😂😂
Kwa mtindo huu utafika mpaka empty bed na empty chair tax. You will tax yourself into poverty.Nch zingine mfano Canada nyumba Kama haikaliwi na mtu Kuna Kodi inaitwa empty home tax ambayo Ni asilimia Moja ya thamani ya nyumba.Kagera na Kilimanjaro vijijini watu wamejenga majumba ya mamilioni hayana watu .Walipishwe hii Kodi.Lakini tunaweza kwenda mbali zaidi tukawa na empty room tax wewe mtu anajenga jumba la ghorofa Lina vyumba kibao unakuta anaiishi yeye, mkewe na mtoto mmoja.Au nyumba ya vyumba sita mtu anaiishi na mkewe tu.Hayo mavyumba mengine yapigwe Kodi ya empty room tax
Epuka habari za kuokoteza na weww unaanzisha thread,yaani kusikia tu case ya yule mama wa china basi nawe unakurupuka kuleta upupu wako hapa!!!!Lumumba akili hamna!Canada wenye hiyo empty home tax Ni Maskini?
Wivu utakuuwa wewe yaani unapigia hesabu nyumba ya mtu kukaa yeye peke yake na huku vyumba viko empty ??Unajua gharama zake? Mbona alivyokuwa anajenga hukumshangaa kwamba jumba lote hili utakaa na Nani??Nch zingine mfano Canada nyumba Kama haikaliwi na mtu Kuna Kodi inaitwa empty home tax ambayo Ni asilimia Moja ya thamani ya nyumba.Kagera na Kilimanjaro vijijini watu wamejenga majumba ya mamilioni hayana watu .Walipishwe hii Kodi.Lakini tunaweza kwenda mbali zaidi tukawa na empty room tax wewe mtu anajenga jumba la ghorofa Lina vyumba kibao unakuta anaiishi yeye, mkewe na mtoto mmoja.Au nyumba ya vyumba sita mtu anaiishi na mkewe tu.Hayo mavyumba mengine yapigwe Kodi ya empty room tax