Serikali ianzishe kodi ya kichwa haraka, Watanzania wanapenda ujanjaujanja

Serikali ianzishe kodi ya kichwa haraka, Watanzania wanapenda ujanjaujanja

Mwigulu Mungu anamuona na atampatia adhabu aliyowahi kuwapatia watangulizi wake.
 
Tatizo utakuta wewe hata bei ya kilomoja ya nyanya hujui inauzwaje
Jua kwanza aina za kodi.Hata mkulima wa nyanya ulipa kodi.
Mtoto utumia mafuta ya kupaka, pampa's,taulo,nguo,nepi,poda vyote hivi ulipiwa kodi viwandani ambapo mtumiaji wa mwisho ndie anaeyekuja lipishwa kupitia manunuzi
 
Back
Top Bottom