jitombashisho
JF-Expert Member
- Jun 11, 2020
- 667
- 2,245
Nchi nyingi tu zimeweza kufanya biashara hiyo kwa ufanisi mkubwa;Rwanda kwa mfano.Serikali na biashara? Hata huko nyuma iliishajaribu. Cha muhimu itengeneze mazingira wezeshi kwa wananchi wafanyabiashara wafanye biashara ya kiushindani na yenyewe ijikite kusimamia na kukusanya maato. Biashara ambayo serikali itamudu ni biashara ya isiyokuwa na ushindani kama hii ya TANESCO na Rail.
...hao hao wabunifu ndiyo wanawakandamiza wananchi.Mnataka serekali ifanye biashara!!!???
ubunifu utakufa......
Wazo lako mbona serikali imetekeleza? Serikali imeanza na ndege kapande Kama usafiri wa serikali ni nafuu.Naitaka Serikali ifufue na ianzishe upya Shirika la mabasi ili gharama za usafishirishaji ziwe rahisi.
Kwa kuliacha soko la usafirishaji abiria kuwa huru ndipo sasa gharama za kusafiri zimekuwa juu!Eti leo ili nifike kwetu IMALASEKO inanibidi niwe na kiasi kisichopungua elfu sabini (70000) hii ni hatari!
Waziri Kamwelwe shughulikia hiyo agenda na Watanzania wa kawaida watakuhifadhi katika vitabu vyao vya kumbukumbu.
Rwanda siyo nchi. Hata bashite ukimkatia kipande Cha dar chenye ukubwa Kama Rwanda awe rais anaweza kuanzisha mabasi ya serikali.Nchi nyingi tu zimeweza kufanya biashara hiyo kwa ufanisi mkubwa;Rwanda kwa mfano.
Hoja hapo ni usimamizi tu.
Anapenda mitelezo huyu,Waulize wenzako wa dar na mwendokasi kama nauli imepungua au imeongezeka.
Serikali ya china inafanya biashara na hapo ulipo unautumia ubunifu wa mchinaaa.Mnataka serekali ifanye biashara!!!???
ubunifu utakufa......
Serikali haiwezagi biashara siku zote
Mbn zamani walikuwa nazo
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app