Serikali ianzishe mara moja biashara ya kusafirisha abiria mikoani

Serikali ianzishe mara moja biashara ya kusafirisha abiria mikoani

Serikali ilishakua na Kampuni ya Mabasi ya Taifa (KAMATA) na mabasi ya relwe (TRC) na yakajifia. Kazi ya serikali ni kukusanya kodi na usimamizi wa sheria, sio kuuza karanga na kuendesha biashara ya daladala.
Mnataka serekali ifanye biashara? Ubunifu utakufa.
 
Serikali ilishakua na Kampuni ya Mabasi ya Taifa (KAMATA) na mabasi ya relwe (TRC) na yakajifia. Kazi ya serikali ni kukusanya kodi na usimamizi wa sheria, sio kuuza karanga na kuendesha biashara ya daladala.
Hii comment yako ipeleke kwa yule hapo juu ambaye anataka serekali ifanye biashara usiilete kwangu sio mahali pake.....
 
Rwanda siyo nchi. Hata bashite ukimkatia kipande Cha dar chenye ukubwa Kama Rwanda awe rais anaweza kuanzisha mabasi ya serikali.
Pia kwa ukubwa wa Rwanda wanahitaji daladala tu.
Rwanda ni Nchi halali iliyopo Mashariki mwa Bara la Afrika.Usipotoshe!
 
Back
Top Bottom