Serikali ibadili taasisi zifutazo kuwa vyuo vikuu

Tabutupu

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2010
Posts
13,206
Reaction score
18,549
1. Institute of acountancy arusha, iwe university of science arusha (usa)
2.ifm iwe, dar es salaam city university (dcu)

HIZI TAASISI MBILI ZINA KILA KITU KINACHO TAKIWA..
 
Kwanza;AIA,IFM zikibadilishwa na kuitwa university kitabadilika kitu gan?
Pili AIA ikibadilishwa na kuwa univesity of sciece nadhan itakuwa imetoka nje kabisa na malengo ya uanzishwaji wake (accountancy)
 
1. Institute of acountancy arusha, iwe university of science arusha (usa)
2.ifm iwe, dar es salaam city university (dcu)

HIZI TAASISI MBILI ZINA KILA KITU KINACHO TAKIWA..

Kweli wewe tabutupu
 
1. Institute of acountancy arusha, iwe university of science arusha (usa)
2.ifm iwe, dar es salaam city university (dcu)

HIZI TAASISI MBILI ZINA KILA KITU KINACHO TAKIWA..
Mawazo yako ya ajabu sana.
 
1. Institute of acountancy arusha, iwe university of science arusha (usa)
2.ifm iwe, dar es salaam city university (dcu)

HIZI TAASISI MBILI ZINA KILA KITU KINACHO TAKIWA..

Kama proposals zingekuwa hivi.. duh.
 
1. Institute of acountancy arusha, iwe university of science arusha (usa)
2.ifm iwe, dar es salaam city university (dcu)

HIZI TAASISI MBILI ZINA KILA KITU KINACHO TAKIWA..

Tabu tupu
 
Last edited by a moderator:
1. Institute of acountancy arusha, iwe university of science arusha (usa)
2.ifm iwe, dar es salaam city university (dcu)

HIZI TAASISI MBILI ZINA KILA KITU KINACHO TAKIWA..

University of science arusha?? Zinakutosha kichwani kijana??
 
1. Institute of acountancy arusha, iwe university of science arusha (usa)
2.ifm iwe, dar es salaam city university (dcu)

HIZI TAASISI MBILI ZINA KILA KITU KINACHO TAKIWA..

Ukipita njia ya Bagamoyo kwenda Msata, mita kama 300 hivi kabla hujaingia barabara ya Tanga kuna bango kubwa limeandikwa IFM MSATA CAMPUS mkono wako wa kulia, halafu nyuma ya hilo bango kuna kicontena fulani hivi,na chenyewe kimewekewa umeme, sasa sijui ndio ofisi za chuo au?
 
Ungeeleweka kwa haraka zaidi kama ungechambua hii mada kwa mapana zaidi. Tatizo umeanza na kichwa cha habari ukaishia njiani
Anza upya mzazi Watu wakuelewe
 
kwanini isiwe university of art arusha and not university of science arusha,umulugo type unakusumbua sana DOGO
 
Ukipita njia ya Bagamoyo kwenda Msata, mita kama 300 hivi kabla hujaingia barabara ya Tanga kuna bango kubwa limeandikwa IFM MSATA CAMPUS mkono wako wa kulia, halafu nyuma ya hilo bango kuna kicontena fulani hivi,na chenyewe kimewekewa umeme, sasa sijui ndio ofisi za chuo au?
hapo ndio itaamia main campus ya ifm na hapa mjini itabaki masters na post..
 
Ungeeleweka kwa haraka zaidi kama ungechambua hii mada kwa mapana zaidi. Tatizo umeanza na kichwa cha habari ukaishia njiani
Anza upya mzazi Watu wakuelewe
usihofu nitarudi tena. asante
 
Back
Top Bottom