Serikali ibadili taasisi zifutazo kuwa vyuo vikuu

Kati ya vyuo hivyo nilishakutana na Cheti kutoka moja ya kozi za IT kikiwa hakina SERIAL NUMBER. Cheti hicho ni HALISI kabisa kutoka chuoni. Hii ni sahihi?
 
!
!
nadhani kuwa university, institute au college haijalishi sana,muhimu ni product.........kama product inayotoka ni nzuri na ni ya ushindani itauzika tu bila kujali imetoka university au college. Inatia aibu sana mfano graduates wa udom wengi hamna kitu kabisa yani na katokea university. Kuna siku nitabandika warning letter ya hr wangu katoka udom,duh!
 
Hayo ni matatizo ya udom na ccm yake, haina maana tukibadili hzi taasisi ziitwe vyuo vikuu vitakuwa kama udom.
 
[.
institute of acountancy arusha, iwe university of science arusha (usa)
2.ifm iwe, dar es salaam city university (d
hizi taasisi mbili zina kila kitu kinacho takiwa.
tabutupu!!!
 
Achen kukurupuka nyie.....
IfM,TiA,IAA haztokuja kuwa universtz kwa sababu hii
--- taasisi hzo zlizoanzishwa zikiwa chin ya wizara ya fedha ilikuwa n kutoa mafunzo kwa watumish wa umma na techntians yaan wale wanaosoma certifcates ambayo n kama foundation,hvo bas ukiizipa hadhi ya kuwa chuo kikuu inamaana unaanza limit n watu wa aina gan wawataka pale na kwa kufanya hv hawa technitians na ambao ndo wachapaakaz wakubwa katka ofis nying za umma watakosa vyuo pendwa vyao na hvo kifanya Managers ambao n gradutz kuchukua nafas ya technitians,,,,
Mwisho.....kupewa hadhi ya Universty na kutopewa kwa taasis hiz hakutofautish ktk soko la ajir kwa product toka taasis husik kama msaada unaweza tafta matokea ya vyo vitatu bora vilivoongoza kufanya mitihan ya boards kama CPA na Ile ilyo chn ya PSPTB taasis zlzoshika nafas tatu za juu TIA na IFm vipo. jiulze naww
 
Sasa kwanini zimebadili na kuanza kudahili form six? Zimesahau kazi ya kuanzishwa kwake??
 
Back
Top Bottom