Serikali ichukue hatua zipi kwa viongozi wanaofanya kazi kwa Mazoea na Majivuno?

Serikali ichukue hatua zipi kwa viongozi wanaofanya kazi kwa Mazoea na Majivuno?

realMamy

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2024
Posts
7,450
Reaction score
19,184
Viongozi hawa ni vikwazo kwa maendeleo ya nchi kutokana na kutowajibika inavyotakiwa.

Kwanza hawana ubunifu wakisubiri kila kitu wapewe msaada.

Hawajiamini wao wenyewe kila kitu wanasubiri kutoka juu.

Ni watu wa visingizio na kulalamika muda wote.
 
Back
Top Bottom